Hapo haina hata haja ya kutafakari unaconclude tu moja kwa moja hana busara!Nyimbo za wanyoa viduku.
Nikionaga mtu anasikiliza hizi huwa ananifanya nianze kutafakari busara yake.
99pc ya singeli hakuna mtu anayejielewa anayeweza kusikiliza..Sometimes ni vizuri kujua dunia ingine inaendaje. Kipindi kile 'hainaga ushemeji inavuma' wengi walikuwa wanasikiliza singeli.....anyway JF hii
Kama unasikiliza redio utakutana nazo bahati mbaya, ndio unasikia wanachoimba,inatokea tu.99pc ya singeli hakuna mtu anayejielewa anayeweza kusikiliza..
Lakini kuna hii 1pc mfano kuna wimbo wa mejja kunta ni singeli lakini atleast ni tofauti na hiyo mingine
Anavutia Sana akichezaHaha watu na viuno vyao
Kumbe depal upo mjengoniHaha watu na viuno vyao
Mamu.99pc ya singeli hakuna mtu anayejielewa anayeweza kusikiliza..
Lakini kuna hii 1pc mfano kuna wimbo wa mejja kunta ni singeli lakini atleast ni tofauti na hiyo mingine
Kuna watu pia wanasema hip hop ni uhuni,wanaosikiliza ni wahuni wasio na busara. Mtu kama huyo hana tofauti na wewe. Watu WA hip hop nao wanamuona hana busara coz he is judgemental.Hapo haina hata haja ya kutafakari unaconclude tu moja kwa moja hana busara!
OkaySio lazima kila kitu kikufae wewe,kinachokufaa wewe mwingine kwake ni kero/upuuzi.
Dunia ni kama kapu Lenye Mazaga kibao,chukua kinachokufaa vingine Vina wenyewe.
Uzuri wa kitu sio universal,ni individual perception
😂😂Sometimes ni vizuri kujua dunia ingine inaendaje. Kipindi kile 'hainaga ushemeji inavuma' wengi walikuwa wanasikiliza singeli.....anyway JF hii
hahahhahhaaaKuna moja nilisikia 'uswazi kondom tunapewa bure maji tunauziwaa....'
Hii ndio wanaimba 'chura huna style yako kifo cha mende' ?!Mwaga maji tucheze kama kambaleee
Ushawahi kusikia mziki wa mnanda au mchirikuMie hua nacheka sana
NipoKumbe depal upo mjengoni