Singeli ni Muziki wa hovyo sana

Singeli ni Muziki wa hovyo sana

Nakumbuka mama alikuwa anatulazimisha kumpa kampani mpaka kipindi kinaisha.

Nikawa namshangaa tu.

Baada ya kuwa mkubwa ndo kuanza kutofautisha na hizi taarabu za kinyago cha mpapule, mara Sanamu la Michelin, mara unagombaniwa kama mpira wa kona.
Hahaha bila shaka mama yako alikuwa anasikiliza taarab za enzi za kina Siti Bint Saad siyo hizi za kina Khadija Kopa

Siku hizi unaambiwa "hao wapambe nuksi, jeuri tutawaonyesha." Ni mwendo wa kusutana tu vidole juu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom