Singeli ni Muziki wa hovyo sana

Singeli ni Muziki wa hovyo sana

Mbona nyimbo nzuri kabisa hizi, wanacheza vizuri pia.

Binafsi sizikatai sana, isipokuwa aina ya uchezaji hasa pale watoto wa kiume wanapocheza huku wamebinua makalio, na hii ni kama signature ya uchezaji wa Singeli.

Ukiachilia misemo yao na matumizi ya maneno, shida yangu kubwa ni uchezaji wa watoto wa kiume. Otherwise sina tatizo na huo muziki.
 
Hii aina ya mziki ni ovyo sana!
Haifundishi jamii zaidi inaharibu.Wasanii wengi wa huu muziki mwanzoni walikuwa wapiga roba na waliza watu tu.
Uchezaji wake wa hovyo yaani ni vurugu.Inakuwa si burudani tena!
Hauwezi kufika kimataifa huu.Msitegemee singeli kushindana na South African Kwaito.Haitatokea.
Muziki unachochea ngono tu na kurahisisha biashara haramu.Hovyo sana!
 
Binafsi sizikatai sana, isipokuwa aina ya uchezaji hasa pale watoto wa kiume wanapocheza huku wamebinua makalio, na hii ni kama signature ya uchezaji wa Singeli.

Ukiachilia misemo yao na matumizi ya maneno, shida yangu kubwa ni uchezaji wa watoto wa kiume. Otherwise sina tatizo na huo muziki.
Siyo wa kiume tu.
Hata watoto wa kike wadogo chini ya miaka 5 anajua kubinua kiuno kukatika wenyewe wanaita "chura" na mzazi anafurahia anaona mtoto ni fundi.
 
Siyo wa kiume tu.
Hata watoto wa kike wadogo chini ya miaka 5 anajua kubinua kiuno kukatika wenyewe wanaita "chura" na mzazi anafurahia anaona mtoto ni fundi.

Kwa wa kike inaweza isiwe ajabu sana, kiuno kazi yake inajulikana kwa wa kike na kuna mila wanafundishwa toka utoto.

Sasa wa kiume style ile ataitumia wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom