Singeli ni Muziki wa hovyo sana

Singeli ni Muziki wa hovyo sana

Nyimbo za wanyoa viduku.

Nikionaga mtu anasikiliza hizi huwa ananifanya nianze kutafakari busara yake.
Unakuta mtu ajiita eti mtoto wa nje ya ndoa.
Kumbe na wewe msikilizaji? Umejuaje ilo jina la mtoto wa nje ya ndoa?
 
Huu mziki asili yake kwenye vigodoro Sasa Kama wewe sio wa uswazi uwezi kuuelewa daima.
Kulikuwa kuna kigodoro mwali anachezwa.

He si nikawa narekodi video.

Kumbe masharti ya huko usiwe na pochi wala simu utaporwa.

Mtoto mmoja akanishtua "mama c ficha hiyo simu kwenye tight halafu tuwaombe wale wakusindikize ukaiache home ndo turudi hapa wanachora ramani wakuibie"

Kweli nikagundua wote hakuna mwenye simu wala kipochi..

Maajabu ya uswazi unaenda kwenye sherehe bila pochi wala simu unaogopa kuibiwa.
 
Chura inaruka ruka chura ti ti ti
Chura inanesa nesa churaa ti ti
Jamani chura hiyoo [emoji445]

Hivi huyo dada yupo kweli nina muda sijamsikia [emoji38]
Na anaishi mjini kupitia chura hizo hizo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom