Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Ni mzuri sana. Japo ametumia mafumbo bila shaka.
Kuna mafumbo na slang (sijui kwa Kiswahili hili neno).
Ni mzuri sana. Japo ametumia mafumbo bila shaka.
Haujaielewa Depal? Usisikilize maneno angalia wanavyocheza tu.Hii sijaielewa
Don Clericuzio upload za Meja Kunta
[emoji38] [emoji38] HayaNi mzuri sana. Japo ametumia mafumbo bila shaka.
Muelewesheni taratibu [emoji1787][emoji1787]Kuna mafumbo na slang (sijui kwa Kiswahili hili neno).
Uliona?Kwa taarifa yao mpaka Alicia Keys alicheza singeli.
Swiss akaupiga studioni kwake.
Singeli iko juu
Au mirindimo ya pwani. Acha kabisa.Taarabu imekuja kuharibika miaka ya 2000 hivi na kuwa mipasho.
Kabla ya hapo wenyewe wanaita Muziki wa Mwambao ilikuwa ni buradani safi.
👌Itabidi tutafutane
Ndiyo niliona.Uliona?
[emoji23][emoji23][emoji23] Amependa midundoKashapenda style za uchezaji tayari, ndo kuanza kuelewa kwenyewe.
Dunia ya Mungu vitu vya mzungu
Mbona nyimbo nzuri kabisa hizi, wanacheza vizuri pia.
Hebu upload video [emoji23][emoji23]Kuna mwimbo mmoja wa singeli nilisikia huu mstari:
"We mbagala siyo, Watu wanavuta bangi moshi kwenye makalio".
Tekenya [emoji16][emoji16] sasa mtoto akisikia hii ni tafraniHaha kuna moja inaitwa tekenya tekenya sijui kaimba nani lkn
Cheka tu mama. Mie mwenyewe nilicheka haki ya nani ni miaka sasa huo mwimbo sijausikia ila nikijikumbushia huo mstari lazima nicheke.Bwana nyie mnanifanya nicheke kwa sauti
Au mirindimo ya pwani. Acha kabisa.
UTUMWA huo. SIO LAZIMA Wanaonurudika wafanane na wewe huu ni MZIHO wa TANZANIA HAUSHINDANIAHWI NA WENGINE SOKO LAKE LIKO PWANI YA TANZANIA HADI US KAMWULIze ALICIA KEYHii aina ya mziki ni ovyo sana!
Haifundishi jamii zaidi inaharibu.Wasanii wengi wa huu muziki mwanzoni walikuwa wapiga roba na waliza watu tu.
Uchezaji wake wa hovyo yaani ni vurugu.Inakuwa si burudani tena!
Hauwezi kufika kimataifa huu.Msitegemee singeli kushindana na South African Kwaito.Haitatokea.
Muziki unachochea ngono tu na kurahisisha biashara haramu.Hovyo sana!
[emoji23][emoji23] nimeusahau jina mkuu ngoja nikiukumbuka nitautafuta