Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,712
NausikiagaUshawahi kusikia mziki wa mnanda au mchiriku
Sema naona kama siku hzi imepotea kabisa
Ova
NausikiagaUshawahi kusikia mziki wa mnanda au mchiriku
Sema naona kama siku hzi imepotea kabisa
Ova
Nina video za watoto wamoja wakicheza.Haha watu na viuno vyao
Hii aina ya mziki ni ovyo sana!
Haifundishi jamii zaidi inaharibu.Wasanii wengi wa huu muziki mwanzoni walikuwa wapiga roba na waliza watu tu.
Uchezaji wake wa hovyo yaani ni vurugu.Inakuwa si burudani tena!
Hauwezi kufika kimataifa huu.Msitegemee singeli kushindana na South African Kwaito.Haitatokea.
Muziki unachochea ngono tu na kurahisisha biashara haramu.Hovyo sana!
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Rrondo coment zako zinanichekesha.Hii ndio wanaimba 'chura huna style yako kifo cha mende' ?!
Achana kabisa na ile kitu mamu.Sipendi singeli ila za Meja Kunta nikiwa bored naingia YouTube kuzitafuta
Huu mziki Raha uwe umekunywa umelewa...maana hauna steps..!hivi hivi unaboa..Kitu kama hukielewi wewe haimaanishi kwamba kitu hicho ni kibaya!!
Huelewei kausha, tuache 'wahuni' tu enjoy!!
Lakini posts za singeli huwa hukosagi.Kinachoniboa zaidi kwenye singeli ni watoto wa kiume kucheza wamebinua matak.o. So disgusting.
Mimi na wewe ndo hatujui steps dada.Huu mziki Raha uwe umekunywa umelewa...maana hauna steps..!hivi hivi unaboa..
Hizo ndo kabisa maneno hayasikiki, ni kelele mwanzo mwisho.Ushawahi kusikia mziki wa mnanda au mchiriku
Sema naona kama siku hzi imepotea kabisa
Ova
Unarusha lishipa 😆😆Nina video za watoto wamoja wakicheza.
Kuna siku nikawauliza hivi nyie mnawezaje kutikisa kalio moja moja?
Wakanijibu "kwani kazi basi mama C, si ni lishipa tu unalirusharusha" hawa watoto wa uswahilini ndo maana wakiwakamata wanaume hawachomoki.
By the way kuna singli zingie tamu sana.
Kama za msaga sumu zamaniiii na meja kunta.
😂😂😂😂 Adi nimejikuta naigilizia ile sauti yakeWeka wekaaa bahariaaaa.... Mamaaaa
Ushawahi kusikia mziki wa mnanda au mchiriku
Sema naona kama siku hzi imepotea kabisa
Ova
Nasikiliza sana redio so huwa nazisikia huko. Kichwa changu ni rahisi kushika maneno especially ya ajabu ajabu.[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Rrondo coment zako zinanichekesha.
Mimi na wewe ndo hatujui steps dada.
Ila wenyewe wataalam hao wanajua steps zote wapi pa kugandisha kiuno wapi ka kulegeza wapi pa kucheza chura.
Sasa hilo lishipa linavyotajwa.Unarusha lishipa [emoji38][emoji38]