Sina hisia na mume wangu nisaidieni

Sina hisia na mume wangu nisaidieni

Nilipitia hilo! Nachoweza kukushauri muache afanye wala usimuulize maana atavimba kichwa, ww jiachie fanya yako pendeza, toka usikae ndani, tafuta kitu cha kufanya, kimatendo muonyeshe mabadiriko. Yy akili itamkaa sawa


umeponaje sasa! yaan hii hali ya kusex naye na huku mm sipokihisia ndo inaniuma !kuna muda huwa nalia akiwa anasex na mm !hajui kitu !nimechoka !nikiingia room nawaza tu leo sijui atataka!imefika hatua akinigusa napiga ukunga najishangaa inakuwaje !had anashangaa nashindwa sema !asante sana mdada!
 
Ulishawahi kuchepuka? Unajiweka safi kweli?
Vipi uvaaji wako minguo mibayabaya haikutoshi n.k chumba kinakuwa na mvuto?
Mwanzoni ulitumia njia shirikishi? Ama baba centered atwange asepe?

Kingine chunguza pengine hakukupenda mlioana kwa jambo Fulani ama kawa na michepuko!
 
Duh..sababu ya kutokuwa na hisia nae ni nn?
Aisee niliambiwa na girl friend wangu kama anavodai mdada hapa nilichukia sana mpaka nikakatisha mawasiliano nae akiulizwa sababu ya kutokuwa na hisia et nae hajui, mi nachoshangaa mtu umelala nae kama huyu dad mpaka watoto alafu analeta hizo mambo za sina hisia kwamba zimeenda wapi now days ? Labda sema aseme amemchoka jamaa basi hawa girl leo ndo nimegundua hakuna kizur kwao hata ufanyaje shubamit zake akatafute mwenye hisia nae sasa sio kuja kutangaza watu humu....!
 
Kupoteza hisia na mume wako kumesababishwa na wewe kutompenda, je huwa unapata hisia ya kufanya mapenzi ya mwanaume asiyekuwa mumeo, kama huna hisia hata kwa wanaume wengine basi una tatizo na hilo mara nyingi huwakuta wanawake waliokeketwa au wenye mashaitwani, sasa wewe utaangalia upo kundi lipi

lakini ikiwa hisia hizo huna kwa mumeo tu basi shida ni kuwa humpendi, sasa nani kasababisha usimpende, mara nyingi sababu huwa ni mwanamke mwenyewe huanza kujisahau halafu mumewe hupoteza mapenzi naye naye mwanamke ndipo huhisi hapendwi basi na yeye anaanza kutompenda mumewe,

sasa ushauri wangu ni huu, chunguza maisha yenu ya nyuma angalia je upo kama ulivyokuwa mwanzo, kama kuna mambo umebadilika jirekebishe tarataibu ataanza kupenda nawewe utampenda tena na yatakuwa sawa, ila inahitaji uwe na subira


najipeleleza kila iitwapo leo !mayb ananificha ! sina hisia ht huko nje (ila sn hakika)nashukuru kwa mawazo yako! nahis nimekuwa mpweke sina rafik nayemhitaj yeye kuliko rafik yyt yule lakin mwenzangu hakai na mm !sio mchaf wala sn mdomo !

asante
 
Unahisi kama?? Haiwezi kutokea tuu, lazima kuwe na sababu za hayo yote jaribu kuwa karibu na yeye yaani kiufupi usiwe unamwogopa mwanaume
 
Pole sana mamii!
Ila nahisi pia elimu yako sio ya juu, nyie watu huwq mnakubali kuburuzwa maana hamna pa kujishikia wenyewe! Namanisha uko tegemezi kwake na yeye ametambua kuwq ana hiyo silaha!!
Ushauri: Kaa nae chini umueleze, mawasiliano mazuri ni kitu muhimu sana ktk kuboresha uhusiano, watu wanachukulia mawasiliano poa poa tu!! Ongea nae na funguka!!
Duh! Elimu ya juu ndio nn? Dada ndoa haina msomi or mbumbumbu, hakuna mwamba wa ndoa, uwe na pesa ama maskini kwa wanaume hawa ni shida tu!

Hata km ni darasa la saba anapaswa kukataa hii tabia
Chanzo cha yote haya ni nini bibie??
 
Ulishawahi kuchepuka? Unajiweka safi kweli?
Vipi uvaaji wako minguo mibayabaya haikutoshi n.k chumba kinakuwa na mvuto?
Mwanzoni ulitumia njia shirikishi? Ama baba centered atwange asepe?

Kingine chunguza pengine hakukupenda mlioana kwa jambo Fulani ama kawa na michepuko!


sijawah madame kutokana na nature za kazi zangu then nahis sipend kuchepuka! ni msafi na ni mwanamke wa kisasa !sina nguo lonya lonya !napenda usafi wa nyumba kuliko hata kucha zangu!sijawah sema popote nahis aibu sana ! tulikutana tukiwa tunasoma !sikutaftiwa !sikumkuta na kitu zaid ya kitanda na godoro na beg dogo !
 
Anaweza asiwe ametafutiwa au amelazimishwa.. Lakini akawa aliziona dalili hizi wakati wa uchumba, akafikiri ndio kupendwa, leo hii tabia aliyodhani ni ndogo imegeuka mtihani kwake. Hivyo kama ilivyo mitihani mingine ya maisha inampasa kuikabili si kuikimbia.. Atulize moyo, tatizo la mumewe ni la kisaikolojia zaidi, linahitaji muda na subira.


sijatftiwa mkuu !shukran
 
Washirikishe ndugu zako wafanye utaratibu upate kutuliza nafsi usimwogope mumeo kama mungu yeye pia ni mtu tu
Ndugu watasikiliza tu huwa hawana msaada, ni mwanamke kusimama tu sanasana kimatendo, piga mini jiachie pendeza toka na ww, hiyo ndio dawa
 
Aisee niliambiwa na girl friend wangu kama anavodai mdada hapa nilichukia sana mpaka nikakatisha mawasiliano nae akiulizwa sababu ya kutokuwa na hisia et nae hajui, mi nachoshangaa mtu umelala nae kama huyu dad mpaka watoto alafu analeta hizo mambo za sina hisia kwamba zimeenda wapi now days ? Labda sema aseme amemchoka jamaa basi hawa girl leo ndo nimegundua hakuna kizur kwao hata ufanyaje shubamit zake akatafute mwenye hisia nae sasa sio kuja kutangaza watu humu....!
Punguza jabza mkuu ni issue za kawaida kabsa izo
 
Ndugu watasikiliza tu huwa hawana msaada, ni mwanamke kusimama tu sanasana kimatendo, piga mini jiachie pendeza toka na ww, hiyo ndio dawa



hata kanisan kama yeye hataki kwenda haniruhusu niende mm hata niombe niende na watt hatak utakuwa ugomv mkubwa ! nitaanza kutoka maana sijalelewa pia malezi hayo(gate kali)
 
Aisee niliambiwa na girl friend wangu kama anavodai mdada hapa nilichukia sana mpaka nikakatisha mawasiliano nae akiulizwa sababu ya kutokuwa na hisia et nae hajui, mi nachoshangaa mtu umelala nae kama huyu dad mpaka watoto alafu analeta hizo mambo za sina hisia kwamba zimeenda wapi now days ? Labda sema aseme amemchoka jamaa basi hawa girl leo ndo nimegundua hakuna kizur kwao hata ufanyaje shubamit zake akatafute mwenye hisia nae sasa sio kuja kutangaza watu humu....!


nisamehe san mkuu ! jinsi nilivyo wewe huwez jua kbs !asante sana !
 
Nilipitia hilo! Nachoweza kukushauri muache afanye wala usimuulize maana atavimba kichwa, ww jiachie fanya yako pendeza, toka usikae ndani, tafuta kitu cha kufanya, kimatendo muonyeshe mabadiriko. Yy akili itamkaa sawa

Atajiachia vipi wkt hata kutoka haruhusiwi mpendwa.Yaani ni km kuna Logbook ya in/out ni ngumu.
Ingekuwa hamjali kwa kila afanyalo hapo angeweza kujiachia, lakini namcheki kila afanyalo na mnuno juu. Cc MINT LADY
 
watoto wawili

Huenda ww amaa yeye kaanza kubadilika i mean kuna side chick new amaa kuna issue ww uliwahi ifanya yeye ikamvuruga vzri so kila akikuona moli inakata

Wat for : jaribu kumfungukia a-z
Amaa jaribu kutafuta washauri wako as ur mom au antiiz wako amaa any wajilan yako sana mpe the full story then ikishindikana sabau mna watt kuwa mvumilivu

Or pia jitahidi kujiandaa vzri i mean uoge vzri unukie vzri ukimuona jifurahishe az nothing bad happen to u

Usiende kwa mganga mwombe sana Mungu huenda ni kipndi cha mapito tuu
Nawasilisha hoja[emoji45]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom