Sina hisia na mume wangu nisaidieni

Sina hisia na mume wangu nisaidieni

Je alitafutiwa huyu mme??

Anaweza asiwe ametafutiwa au amelazimishwa.. Lakini akawa aliziona dalili hizi wakati wa uchumba, akafikiri ndio kupendwa, leo hii tabia aliyodhani ni ndogo imegeuka mtihani kwake. Hivyo kama ilivyo mitihani mingine ya maisha inampasa kuikabili si kuikimbia.. Atulize moyo, tatizo la mumewe ni la kisaikolojia zaidi, linahitaji muda na subira.
 
Kwa hiyo kukaa mpaka inafikia miaka yote mitano hukuona kama umelikomaza tatizo au ulijua hali ingebadilika?
 
Pole mamy, hebu Zungumza nae kuhusu hiyo tabia yake kwanza. Mwambie inavyokuumiza pia. Pengine kuna linalomsukuma kwenda huko Madam, hebu ongea nae
 
Kwenu na unapoishi na mumewo ni umbali gani? Wanao wana umri gani?

Baada ya majibu yako, nitakupa ushauri wangu.
 
Duu pole sana mwanamke kupoteza hisia kwa mwanaume ni mbaya sana,
 
Habari waungwana,

Nimekuwa sina hisia na mume wangu kwa miaka 5 sasa. Chanzo cha yote haya ni jinsi anavyoishi nami, amekuwa hanijali, ananichukulia kama mleaji wa wanae basi. Yaani amekuwa anajali kampani za marafiki zake kuliko mimi.

Jamani nimechoka nahitaji msaada wa utabibu. Hali hii imenichosha najihisi kama nabakwa nahisi akili imeshachoka.

Tafadharini nishaurini, sihitaji kebehi. Am fed up!
Hiyo ni hali ya kawaida kwa ndoa changa! Punguza kuwaza na ukiona huna hisia jaribu ku-fake ugonjwa hata kwa mwezi ili 'usibakwe'. Mengine uje pm.
 
Nilipitia hilo! Nachoweza kukushauri muache afanye wala usimuulize maana atavimba kichwa, ww jiachie fanya yako pendeza, toka usikae ndani, tafuta kitu cha kufanya, kimatendo muonyeshe mabadiriko. Yy akili itamkaa sawa
 
Habari waungwana,

Nimekuwa sina hisia na mume wangu kwa miaka 5 sasa. Chanzo cha yote haya ni jinsi anavyoishi nami, amekuwa hanijali, ananichukulia kama mleaji wa wanae basi. Yaani amekuwa anajali kampani za marafiki zake kuliko mimi.

Jamani nimechoka nahitaji msaada wa utabibu. Hali hii imenichosha najihisi kama nabakwa nahisi akili imeshachoka.

Tafadharini nishaurini, sihitaji kebehi. Am fed up!
chepuka usikamatwe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom