Sina hisia na mume wangu nisaidieni

Sina hisia na mume wangu nisaidieni

MINT LADY

Member
Joined
Aug 6, 2017
Posts
43
Reaction score
36
Habari waungwana,

Nimekuwa sina hisia na mume wangu kwa miaka 5 sasa chanzo cha yote haya ni jinsi anavyoishi nami, amekuwa hanijali, ananichukulia kama mleaji wa wanae basi yaani amekuwa anajali kampani za marafiki zake kuliko mimi.

Jamani nimechoka nahitaji msaada wa utabibu hali hii imenichosha najihisi kama nabakwa nahisi akili imeshachoka.

Tafadharini nishaurini, sihitaji kebehi. Am fed up!
 
habari waungwana
!kama kichwa kinavyojieleza nimekuwa sina hisia na mume wangu kwa miaka 5 sasa!chanzo cha yote ni the way anavyonitreat !amekuwa hanijali ananichukulia km mleaji wa wanae bas ! yaan amekuwa anajali kampan za marafiki zake kuliko mm !jaman nimechoka nahitaj msaada wa utabibu !hii hali imenichosha najihis kama nabakwa nahis akili imeshachoka !

tafadharini nishaurini !sihitaji kebehi !am fed up!
Chanzo cha yote haya ni nini bibie??
 
kaa nae chini mwambie ukweli kuwa unahitaji kudekezwa na kubembelezwa+caring zaidi ya mtoto aliyebemendwa.......

asipokuelewa kuna mstari upo ivi

NJOONI KWANGU MNAOSUMBUKA NA KUELEMEWA NA MIZIGO NAMI NITAWAPUMZISHA
 
tengeneza mazingira ya kukujali naye atakujali....
kwa mfano Itakubidi um"treat" kinyume na anavyofanya yeye na tena ongeza upendo kwake .....
kwa kufanya hivyo Nina tumaini utavuna mema
...........natanguliza pole na hongera kwa uvumilivu
 
Una umri gani na yeye ana umri gani?

Je unajiweka ktk hali ya usafi kama pindi alivyokua anakupiga verse?

Una kazi? Yeye ana kazi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom