Sina hisia na mume wangu nisaidieni

Sina hisia na mume wangu nisaidieni

hapana nimeajiriwa mkuu !nina degree ! mm sio mtu wa kujichanganya nadhan ndo ametake adv
Jichanganye na watu kidogo, majua kuna watu nature zao ni introverts(wapo comfortable wakiwa alone, sio waongeaji sana) ila jaribu kutoka nje ya comfort zone yako kwa ajili ya ndoa yako kuilinda! Jichanganye kidogo na watu, nenda vi seminar, tembelea ndugu, jamaa na marafiki unapoweza, mara chache nenda outing nae na marafiki zake! Hii itakufanya ujifunze vitu toka kwa wengine pia na kukuongezea wewe kitu! Hata ile umetoka nae mmeo akaona kuna jamaa kakuangalia kwa jicho fulani, atapata wivu na kujua kuwa alicho nacho kinathaminiwa na wengine pia!
 
Mumeo ana hulka ya "Love possessiveness"
Watu wa aina hii, hawapendi uhuru kwa wenzi wao, huwachagulia marafiki wenzi wao, kifupi huwa na mipaka kwenye kila jambo. Tiba yao hutegemea mtu na mtu.

yupo hvyo hvyo
 
nimewah toka nae alipona watu wananiangalia akasema turud nyumban !since there sitolew out !huwa ni mtu mwenye kujistukia kila ninapoenda sehem anaangali ninan ananiangalia !haat mhudumu akinisalimia kwa kunichangamkia nimeharibu nabeba naenda hom ! sijui kwakwel shida iko wapi
 
Basi tatizo ni yeye, ila nawe una shea yako ktk tatizo lake!
Hajiamini, kwani mlikutanaje?? Ulitafutiwa au ilikuwaje akakuoa?? Hukumjua kabla??
 
Mumeo ana hulka ya "Love possessiveness"
Watu wa aina hii, hawapendi uhuru kwa wenzi wao, huwachagulia marafiki wenzi wao, kifupi huwa na mipaka kwenye kila jambo. Tiba yao hutegemea mtu na mtu.
Je alitafutiwa huyu mme??
 
Kuna mengine huwa tunawaonea tuu hawa wenzetu.

Hivi kweli mwanaume mwenye mke na watoto unapaswa kuelezwa na mtu kuwa unapaswa kuijali familia yako?

Kwamba kutoa hela ya chakula, ada na mahitaji mengine ndo basi unaijali familia?

Sasa mwanamke anaweza kuwa kweli amechoshwa na kutokujaliwa kwa familia yake ingawa mwanaume alikuwa na tabia za kujali pengine hata kabla ya ndoa, lakini pia mwanaume anaweza kuanza tabia hiyo baada ya ndoa au baada ya kupatikana watoto. All in all, mwanamke anaweza jifunza toka kwa jirani, rafiki n.k akiona kule mtu anapewa attention zote hata kama jamaa anchepuka, atatamani angalau mwanaume wake angekuwa hivyo.

Matatizo yatukute kwa bahati mbaya, tusiyatafute! Usimpe mtu sababu ya kuongea au kutenda kinyume na makusudio yake.
ila inawezekana pia kabadilika mbeleni yani haikuwa tabia yake hapo kabla kwahiyo ni lazima kujua chanzo.labda michepuko imemuelemea huwezi kujua.
 
Habari waungwana!

Nimekuwa sina hisia na mume wangu kwa miaka 5 sasa. Chanzo cha yote haya ni jinsi anavyoishi nami, amekuwa hanijali, ananichukulia kama mleaji wa wanae basi. Yaan amekuwa anajali kampani za marafiki zake kuliko mimi.

Jaman nimechoka nahitaji msaada wa utabibu. Hali hii imenichosha najihisi kama nabakwa nahisi akili imeshachoka.

Tafadharini nishaurini, sihitaji kebehi. Am fed up!
Kupoteza hisia na mume wako kumesababishwa na wewe kutompenda, je huwa unapata hisia ya kufanya mapenzi ya mwanaume asiyekuwa mumeo, kama huna hisia hata kwa wanaume wengine basi una tatizo na hilo mara nyingi huwakuta wanawake waliokeketwa au wenye mashaitwani, sasa wewe utaangalia upo kundi lipi

lakini ikiwa hisia hizo huna kwa mumeo tu basi shida ni kuwa humpendi, sasa nani kasababisha usimpende, mara nyingi sababu huwa ni mwanamke mwenyewe huanza kujisahau halafu mumewe hupoteza mapenzi naye naye mwanamke ndipo huhisi hapendwi basi na yeye anaanza kutompenda mumewe,

sasa ushauri wangu ni huu, chunguza maisha yenu ya nyuma angalia je upo kama ulivyokuwa mwanzo, kama kuna mambo umebadilika jirekebishe tarataibu ataanza kupenda nawewe utampenda tena na yatakuwa sawa, ila inahitaji uwe na subira
 
Habari waungwana!

Nimekuwa sina hisia na mume wangu kwa miaka 5 sasa. Chanzo cha yote haya ni jinsi anavyoishi nami, amekuwa hanijali, ananichukulia kama mleaji wa wanae basi. Yaan amekuwa anajali kampani za marafiki zake kuliko mimi.

Jaman nimechoka nahitaji msaada wa utabibu. Hali hii imenichosha najihisi kama nabakwa nahisi akili imeshachoka.

Tafadharini nishaurini, sihitaji kebehi. Am fed up!
wewe mpendeeee...endeleaaa kumpendaaaaa,mpendeeee tuuuu,ongeza zaidi upendooo,oneza mawasiliano na mahaba,ongezaaa tuuuu,baadae atajirudi.
 
Mke wangu kwann usinambie tu..ndo kuja kunitangaza huku!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom