Ni mtazamo wangu!Duh! Elimu ya juu ndio nn? Dada ndoa haina msomi or mbumbumbu, hakuna mwamba wa ndoa, uwe na pesa ama maskini kwa wanaume hawa ni shida tu!
Hata km ni darasa la saba anapaswa kukataa hii tabia
Cha muhim kaeni mzungumze kwa uwaz, kuchepuka sio solution, maradhi mengiHabari waungwana,
Nimekuwa sina hisia na mume wangu kwa miaka 5 sasa. Chanzo cha yote haya ni jinsi anavyoishi nami, amekuwa hanijali, ananichukulia kama mleaji wa wanae basi. Yaani amekuwa anajali kampani za marafiki zake kuliko mimi.
Jamani nimechoka nahitaji msaada wa utabibu. Hali hii imenichosha najihisi kama nabakwa nahisi akili imeshachoka.
Tafadharini nishaurini, sihitaji kebehi. Am fed up!
Wengi ya wanawake wakipata watoto, mume humshusha daraja katika kumjali na kumhudumia.The way unavojiweka huenda inasababisha yeye awe hivo.
Yani wakishazaa unaweza kuta hakujali tena. Yeye anatizama watoto tu. Na kujipenda anapunguza kabisa, so unakuta hata hamu nae inapungua.Wengi ya wanawake wakipata watoto, mume humshusha daraja katika kumjali na kumhudumia.
[emoji115][emoji106] wala si uhuni yaani, ni dawa pia imewasaidia wengiMuage mwambie unasafari kidogo na shoga zako.
Jirembe ile mbaya vaa ile vunja sanduku.
Nenda kashinde kwa ndugu sake
Kesho yake jirembe tena
Kashinde kwa ndugu yake mwingine.
Penda kujiremba ukiingia chumbani baki na skin tight Jiremberembe kila wakati akikuaga naww muage muda huohuo.
Habari waungwana,
Nimekuwa sina hisia na mume wangu kwa miaka 5 sasa. Chanzo cha yote haya ni jinsi anavyoishi nami, amekuwa hanijali, ananichukulia kama mleaji wa wanae basi. Yaani amekuwa anajali kampani za marafiki zake kuliko mimi.
Jamani nimechoka nahitaji msaada wa utabibu. Hali hii imenichosha najihisi kama nabakwa nahisi akili imeshachoka.
Tafadharini nishaurini, sihitaji kebehi. Am fed up!
Hana bad history yako kweli?usigekuwa ulifanya kitu cha kijinga hasa cha usaliti ukatarajia amesahau!nimewah toka nae alipona watu wananiangalia akasema turud nyumban !since there sitolew out !huwa ni mtu mwenye kujistukia kila ninapoenda sehem anaangali ninan ananiangalia !haat mhudumu akinisalimia kwa kunichangamkia nimeharibu nabeba naenda hom ! sijui kwakwel shida iko wapi
najipeleleza kila iitwapo leo !mayb ananificha ! sina hisia ht huko nje (ila sn hakika)nashukuru kwa mawazo yako! nahis nimekuwa mpweke sina rafik nayemhitaj yeye kuliko rafik yyt yule lakin mwenzangu hakai na mm !sio mchaf wala sn mdomo !
asante
hata kanisan kama yeye hataki kwenda haniruhusu niende mm hata niombe niende na watt hatak utakuwa ugomv mkubwa ! nitaanza kutoka maana sijalelewa pia malezi hayo(gate kali)
Wife kumbe nakubaka Leo ndio nimejua ngoja nitabadil gia au nioe mwingine ili uwe unapata wivu utakaozaa hisia.Habari waungwana,