Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 10,586
- 7,975
Habari waungwana,
Nimekuwa sina hisia na mume wangu kwa miaka 5 sasa. Chanzo cha yote haya ni jinsi anavyoishi nami, amekuwa hanijali, ananichukulia kama mleaji wa wanae basi. Yaani amekuwa anajali kampani za marafiki zake kuliko mimi.
Jamani nimechoka nahitaji msaada wa utabibu. Hali hii imenichosha najihisi kama nabakwa nahisi akili imeshachoka.
Tafadharini nishaurini, sihitaji kebehi. Am fed up!
Oh my dear MINT LADY pole sana kwa kuota kutu mwilini kwa sababu haupapaswi na huyo kibaka wako. Naomba tutafutane basi nikutoe hasira za mwili upate kufarijika.