MarkHilary
JF-Expert Member
- Feb 8, 2015
- 1,852
- 2,299
Umesha mshirikisha hili kabla ya kuja hapa?
Kama sivyo, inaonekana kuna tatizo kubwa la kimfumo na kimawasiliano ktk ndoa yenu, wewe ukiwa sehemu kuu ya tatizo
Kwa nia njema kabisa tuanzie hapo mkuu....