Sina hamu na mume wangu

Sina hamu na mume wangu

Hayo mengine ni yenu, mm najua kuondoa ganzi ktk K tu basi!
 
Asanteni wote mlioshauri mazuri nitayafuata na mabaya nitayaacha ila hamjuhi ni kiasi gani nimepata faraja ya moyo baada ya kutoa la moyoni maana nilikuwa kama kuna kitu kimenibana rohoni najihisi mwepesi na furaha yangu itarudi tena.
Asanteni wote na nawapenda pia.
Cheers
 
Pole. Mamo matatu yanatakiwa: (a) Mumeo kutubu na kuwa na nia ya dhati kuacha ufuska (b) wewe kumsamehe kikamilifu na (3) Muda ili picha hiyo iache kukuathiri katika mahusiano yenu. Iwapo mawili ya kwanza hayatatokea shida iendelea.

yeye hajawahi kuchepukaaa???
 
Nakshi what's happen is worst// what's go around turn around. are you?cleanest one!
 
Last edited by a moderator:
Inabidi usamehe tu au udai talaka yaishe. Its either black or white, no gray shades.

Kama unamsamehe kwanza mkapime UKIMWI.

Shosti ni bahati yako, kuna waliokuta waume zao wameinamishwa wao wanaliwa. Hapo sasa!
 
Asanteni wote mlioshauri mazuri nitayafuata na mabaya nitayaacha ila hamjuhi ni kiasi gani nimepata faraja ya moyo baada ya kutoa la moyoni maana nilikuwa kama kuna kitu kimenibana rohoni najihisi mwepesi na furaha yangu itarudi tena.
Asanteni wote na nawapenda pia.
Cheers

Ahsante kwa kushukuru lakini la msingi jitahidi sana kuomba Mungu akuepushe na kisasi. Weka ratiba ya maombi, hudhuria kanisani/msikitini. Katika maombi Mungu atakusahaulisha tendo lile. Kumbuka hakuna mwanadamu aliyemkamilifu kwa mwenzake, kama aliomba msamaha, fanya kana kwamba hakutenda kosa. Umsamehe mpe K, mfurahie na mlee watoto wenu ambao ndicho kiunganishi chenu na zawadi kutoka kwa Mungu. Jitahidi sana kutokusema siri zenu kwa ndugu zako au ndugu za mumeo, sisi wanaume hatupendi tabia hiyo na inaweza kuwa mwanzo wa kusambaratisha ndoa yenu.
 
Ndoa ni taasisi ngumu sana kwa hiyo inahitaji hekima ya Mungu kuiendesha. Kwa kifupi wanaume ambao si wezi wa nje ni wachache sana, cha msingi amini kuwa wako hafanyi!!!! Ukianza kufuatilia au kumchokonoa hutakaa umle bata. Dada pole sana, ni ngumu kumeza lakini for the sake of your children (if you have one) samehe na sahau.
 
Back
Top Bottom