ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,864
Haya mambo ya suprise saa nyngne ni balaa tu.
ni suala la muda tu, wanawake wanapitia machungu mengi zaidi hata ya mume kucheat ila tunasahau na maisha yanasonga. labda kama unaamua kumuacha na kutokuwa kwenye mahusiano tena. kama ndio tayari una watoto akili lazma ijitune kusamehe kama bibie hapo.
Hapana Husninyo sio swala lá ukiolewa, ni mara mia hata usikie tetesi kuliko kuona live. Na imagine ni mtu ambaye anakuambia kila siku u mean a world to him na hatakaa akuumize kwa namna yeyote.
Lkn labda kama ndoa yao haiko romantic any more na wana coexist tu kwenye nyumba (hapo msingi ni mwingine sio upendo na uaminifu). And by the way nilishamuacha mwanaume niliyekaa naye 5 years kwa kitu kama hicho. And l can do it again n again and again.
Me nikupongeze tu kwa kuendelea kuishi nae mpaka leo duh, nisingeweza
yaani kusex na mwingine tu ndio usingeweza kuishi nae?
sijasema kosa lolote atakalofanya mume wangu ntamuacha, labda hujanielewaacha kudanganya watu inamaana kila mtu akifanya kosa muachane leo hii kungekuwa na ndoa kweli inaonekana wewe hujaolewa sutamaliza wanaume
Kuamua kubaki ndoani kwa kujituma sana kusamehe ni kuwa, unaamua kutoa sadaka furaha yako kwa ajili ya watoto, lakini furaha ya ndoa inakuwa haipo, hili ni suala lingine kabisa. Nakubali ni mojawapo wa option kama ukipima unaona watoto wataumia saana kwa kuondoka kwako. Lakini pia wapo akina mama walioweza kuvumilia hii, ndio watoto wao wamepata malezi ya mama, lakini wao nafdsi zao zimekufa ama kuharibiwa beyond repair (perment deppression)
Hapa huwa ni kufanya cost-benefit analysis ya maana.
Lakini pia, wapo ambao wanaweza kusamehe kwa ukweli, kwa sababu kadhaa wa kadhaa, lucky them.
Ndoa zina matatizo sana na hasa hili la vidumu ni gonjwa sugu. So ni kusameheana na kuendelea na maisha kwa faida ya watoto.sijasema kosa lolote atakalofanya mume wangu ntamuacha, labda hujanielewa
Dogo eeeeh?
Mwaya weeeeee. Huku ukiwa unamuangalia?? Remember sio mchumba, ni mume.
Ndoa zina matatizo sana na hasa hili la vidumu ni gonjwa sugu. So ni kusameheana na kuendelea na maisha kwa faida ya watoto.
Ni ubinafsi tu..u-selfishila jamani sijui kuna power gani kwenye uc.hi na m.boo. yaani mtu akikucheat maumivu yake hatareeee.
kumkuta live..bora kusikia
ila jamani sijui kuna power gani kwenye uc.hi na m.boo. yaani mtu akikucheat maumivu yake hatareeee.
wala sijasema kama ni dogo ila tu haitoshi kuwa sababu ya kuvunja ndoa.
aisee HAPANA siwezi nina moyo wa ajabu sana