Sina hamu na mume wangu

Sina hamu na mume wangu

Hayo yanawakuta walio desparate na ndoa na wanaoona mwanaume ndo kila kitu katika maisha lakin sio mm

Mwenzangu enjoy ndoa yako.sio wanaume wote ni washenzi..wapo sana wanaojitambua na kuheshimu wake zao ni akili tuu zako kichwani kumtambua.na kama una huo msimamo trust me mwanaume hakufanyii ushenz ..bt ukishasema ndo walivyo umemuhalalishia ata kama sio mshenzi atafanya tuu cz its like asipofanya unampa msg gani'hayupo normal right??.. wanawake siee..
 
hahaha baba paroko una maswali kwa sababu litakuwa la kwanza dunia nzima

Ngoja nijivike ualimu ili unielewe

Ni kwamba kama hujui ni kitu gani utafanya huwezi kujua kama watu watashangaa ama laa kwasababu ili ujue kama watu watashangaa ni hadi ujue utafanya nini ndipo utajua matokeo yake

Kama hujui ukubwa wa bomu huwezi kusema linaweza kuangamiza bara la ulaya lote,kwanza jua ukubwa wa bomu kisha ndipo useme linaweza kuangamiza sehemu gani kutokana na kujua uwezo na ukubwa wa bomu

Sasa kwenye ishu yako ni kuwa hujui utafanya nini halafu unasema dunia itashangaa??????????
 
pole sana ndugu ninacho kushauri umwombee Mungu sana na pia kama utapenda nitafute kwa hii no 0713800250
 
Mh..pole haya mambo..ukihamua kuyamaliza inabidi umalize mwenyewe mpenzi...na ukihamua kusamehe we samehe naelewa inaumiza sana na ni ngumu kufutika kichwani..mungu akuongoze ushauri wangu ni bora umeandika imetoka moyoni..na kama umehamua kubaki usije ukakosea ukaenda kusimulia nyumbani kwenu..kila la kheri mpenzi omba sana yote yatakwisha ni safari isiyo na mwisho..kuna siku ataacha
 
Mungu anakupenda, alitaka kukuonyesha...usitende dhambi wala kulipa kisasi, msamehe na endelea kumwombea

Nimeolewa na nina watoto 2, mimi ni muajiriwa na mume wangu pia muajiriwa serikalini.

Siku moja ilikuwa birthday ya mume wangu but alisahau ikabidi nimfanyie suprise kumpelekea zawadi ikiwemo keki ofisini kwake wakati wa lunch time, kufika ofisini kwake secretary wake sikumkuta ila nilihisi mume wangu yupo ofisini; me moja kwa moja kufungua mlango kwa shangwe zote nikichokikuta humo ndicho kinachoniumiza mpaka leo! Mume wangu amemuinamisha secretary wake waki-have sex, kesi ilikuwa kubwa but nikajitahidi kumsamehe ila tatizo sina hamu ya kufanya nae mapenzi tena sababu ile picha iko ndani ya ubongo wangu; yaani K yangu imekufa ganzi kabisaaa katika swala la sex.

Nifanyeje jamani?
 
Mkishaolewa muache kiherehere sasa ofisini unapeleka keki ule wewe na mumeo bila watoto? alikuambia haji nyumbani? Alfajiri ya siku ya tukio ulimpatia 'Morning tea"?Huwa unamwandalia kifungua kinywa kama secretary wake anavyomfanyia?
 
Ingekuwa mwanamke ndo amecheat na mumewe kumkuta usingesikia haya ya kusamehe na kuendelea kuishi, maoni yote yangukuwa ''achana nae'' hafai huyo'' hasa kwa akina kaka. Sijui kwa nini sisi wanawake tunapenda kulea dharau? Acheni kutetea maovu.
 
Nimeolewa na nina watoto 2, mimi ni muajiriwa na mume wangu pia muajiriwa serikalini.

Siku moja ilikuwa birthday ya mume wangu but alisahau ikabidi nimfanyie suprise kumpelekea zawadi ikiwemo keki ofisini kwake wakati wa lunch time, kufika ofisini kwake secretary wake sikumkuta ila nilihisi mume wangu yupo ofisini; me moja kwa moja kufungua mlango kwa shangwe zote nikichokikuta humo ndicho kinachoniumiza mpaka leo! Mume wangu amemuinamisha secretary wake waki-have sex, kesi ilikuwa kubwa but nikajitahidi kumsamehe ila tatizo sina hamu ya kufanya nae mapenzi tena sababu ile picha iko ndani ya ubongo wangu; yaani K yangu imekufa ganzi kabisaaa katika swala la sex.

Nifanyeje jamani?

Hizi Hadithi za kutunga duh...shigongo aje kuchukua vipaji huku, Hii nayo uliitunga vizuri
https://www.jamiiforums.com/mahusia...inipa-mimba-nikiwa-shule-kisha-akaniacha.html
 
Nimeolewa na nina watoto 2, mimi ni muajiriwa na mume wangu pia muajiriwa serikalini.

Siku moja ilikuwa birthday ya mume wangu but alisahau ikabidi nimfanyie suprise kumpelekea zawadi ikiwemo keki ofisini kwake wakati wa lunch time, kufika ofisini kwake secretary wake sikumkuta ila nilihisi mume wangu yupo ofisini; me moja kwa moja kufungua mlango kwa shangwe zote nikichokikuta humo ndicho kinachoniumiza mpaka leo! Mume wangu amemuinamisha secretary wake waki-have sex, kesi ilikuwa kubwa but nikajitahidi kumsamehe ila tatizo sina hamu ya kufanya nae mapenzi tena sababu ile picha iko ndani ya ubongo wangu; yaani K yangu imekufa ganzi kabisaaa katika swala la sex.

Nifanyeje jamani?

Kumbe k imekufa ganzi...njoo nikupige katerero hiyo ganzi yote itatoka
 
Hili nalo la kuja kuuliza JF..nawe si ungeinama tu upewe mambo,kitu cha unplaned threesome safi kabisa...when you find yourself in situation like that just relax and enjoy the game..
 
Kama umekufa ilete niifufue hakika vzzz lazma litibuke!
 
Back
Top Bottom