Pole sana kwa yaliyo kukuta mama,ndio maisha,hayakosi misukosuko kama bara bara tu,haikosi kona,mlima,mteremko,Ivyo basi muombe mungu ipasavyo atakusaidia kuondokewa na hayo matatizo,pia kumsamehe mumeo ni jambo la busara umeonyesha kuwajari wototo wako. furaha ya watoto kuwa na wazazi,Iv uko tayari kuwaambia watoto wako ukweli kuhusu kutengana kwenu. asabu wanakuona jinsi ulivyopendeza ulivyovaa shera siku ya wedding i!Nahisi ingekuwa ngumu kama angekukuta ww umeinamishwa vile angepiga kelele, mpaka class mate wako wote wa chekechekea wangepata habari na makofi pia ungehamburia,cha msingi msamehe mumeo,na ahame ofisi kwani akienderea hapo sio pazuri kuna shetani nyuma ya mlango wake wa kuingia ofisini,pia mpe somo kuwa sehemu ya kupatia rizki ya watoto sio, mahara pa mchezo pole