Sina hamu na hii nchi...Hebu muone wenyewe!

attachment.php

duh!

what a ruthless dog!
 
Ni mfano wa nchi yetu,,wao wanatafuna,wafanyakazi,wakulima,wafanyabiashara na wananchi kwa ujumla wao tumeshikwa mikono,tena sio kuishika tu,wameikata!Kama wanakuandalia shule za kata upate Div.ZERO (SIFURI) si ni kama wamekukata mikono?
 
Picha hii inaonyesha jinsin gani watu wachache wanavyofaidika na rasilimali za taifa wakati walio wengi wanateseka na hali ngumu ya maisha. Nasema hivi kwa sababu ni ngumu mtu kuvaa maviatu kama yale kisha kuwakanyaka watoto mikono wasile tena inaonekana kama si karanga basi ni maharage hivyo taswira niliyonayo ni lugha tu ya picha imetumika kuonyesha jinsi hali ilivyo au inavyofanyika katika nchi nyingi za bara la Africa.
 
Inabidi akombolewe kimawazo nakifikra
Unless otherwise hatutafika
 
Jamaa ni mbinafsi sana. Na hii inaonyesha jinsi watu walivyo wabinafsi. Just imagine jamaa akipata nafasi ya kuwa kiongozi atakuwa fisadi na kumaliza rasilimali zote za nchi.

Hayo ni maisha ambayo waTanzania wengi wanaishi na hali itaendelea kuwa duni zaidi maana bidhaa sasa hivi madukani ni ghali kupindukia!
 
Back
Top Bottom