Sina hamu na hii nchi...Hebu muone wenyewe! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sina hamu na hii nchi...Hebu muone wenyewe!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Dark City, Feb 2, 2011.

 1. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #1
  Feb 2, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,279
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 160
  Nimeipata hii picha toka kwa jamaa yangu mmoja. Naamini inajieleza yenyewe.
   

  Attached Files:

 2. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #2
  Feb 2, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 11,303
  Likes Received: 669
  Trophy Points: 280
  Mh!
   
 3. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #3
  Feb 2, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,279
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 160
  Vipi tena Mkuu?

  Ni mwendo mdundo tu...Baada ya lunch, naamini mzee watawatuma hao dogo wakabebe mahindi kwenda sokoni au wakalete mzigo wa kuni.

  This time naona punda atakufa kabla ya mzigo wa bwana kufika!
   
 4. m

  mzawahalisi JF-Expert Member

  #4
  Feb 2, 2011
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 745
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  unaweza kuta madogo wamefanya kakosa kadogo tu, njemba ikaamua kuwakomesha kikatili nnamna hii! Hapo utakuta mboko zinawasubili.
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Feb 2, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 36,992
  Likes Received: 18,369
  Trophy Points: 280
  sasa matendo ya mtu yatakufanya uchukie nchi yako?
   
 6. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #6
  Feb 2, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,898
  Likes Received: 419
  Trophy Points: 180
  [​IMG]
  duh!
   
 7. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #7
  Feb 2, 2011
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,440
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  watoto ni taifa la kesho na wasubiri hiyo kesho.
   
 8. Obi

  Obi JF-Expert Member

  #8
  Feb 2, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 376
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Jamaa ni mbinafsi sana. Na hii inaonyesha jinsi watu walivyo wabinafsi. Just imagine jamaa akipata nafasi ya kuwa kiongozi atakuwa fisadi na kumaliza rasilimali zote za nchi.
   
 9. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #9
  Feb 2, 2011
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  kazi ipo.
   
 10. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #10
  Feb 3, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,835
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Just rituals!!!
   
 11. jambotemuv

  jambotemuv JF-Expert Member

  #11
  Feb 3, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Nadhani usanii tu. Watoto wenyewe hawaonekani wakorofi kiasi wangekaidi akisema toka hapa! I hope walilipwa vizuri kwa pozi hili.
   
 12. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #12
  Feb 3, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,233
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  hivyo viatu tu kwanza lazima umwogope!
  Akina dogo wanaonyesha wamezowea hilo gemu ...duuu!
   
 13. De Javu

  De Javu JF-Expert Member

  #13
  Feb 3, 2011
  Joined: May 5, 2010
  Messages: 266
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Pengine anawaadhibu walikua wanamuacha nyuma kwenye kunyanyua msosi ndio akaona azuie mikono kwa buti za kichina ? loh kazi kweli kweli.
   
 14. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #14
  Feb 3, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,753
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Nadhani wanaigiza si bure duh
   
 15. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #15
  Feb 3, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,236
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Si bora ajifiche chumbani...
   
 16. Wit

  Wit JF-Expert Member

  #16
  Feb 3, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 418
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  aisee!kazi ipo
   
 17. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #17
  Feb 3, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,279
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 160
  Please think beyond the small box you are enclosed in!

  Jaribu kuwaingiza watu kama RA, JK na EL kwenye hii picha halafu utuona maana yake!

  DC
   
 18. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #18
  Feb 3, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,287
  Likes Received: 195
  Trophy Points: 160
  Hii Kali hili jamaa halina huruma kabisa :angry:
   
 19. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #19
  Feb 3, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,372
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Huyo jamaa ndio wenye nchi halafu hao madogo wawili ni mimi na wewe! Anakula national cake peke yake halafu sisi tunadanganyiwa kwa kualikwa tule lakini mikono yetu ameikanyaga japo tupo wote mezani lakini mwenye kula national cake ni mmoja.
   
 20. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #20
  Feb 3, 2011
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,094
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  huu ni mfano wa chadema na wafuasi wao

  Mbowe anatafuna wakati wenzake kawaekea mikono
   
Loading...