Bentley Flying Spur 2026 katika ardhi ya Tanzania wiki hii

Bentley Flying Spur 2026 katika ardhi ya Tanzania wiki hii

mshimboka

Member
Joined
Jun 13, 2026
Posts
55
Reaction score
123
WanajamiiForums nyote mnakaribishwa siku ya Jumatano katika Uwanja wa Ndege wa JNIA kwa mapokezi ya gari la ndoto yangu.

Nimeanza kuendesha gari nikiwa na umri wa miaka 16, na gari la kwanza kuendesha lilikuwa Toyota Prado. Tangu wakati huo nimeendelea kuendesha na kumiliki magari mengi kama Toyota Lexus, Range Rover Sport 2023, Mercedes-Benz AMG 2025, Toyota Crown 2024 na mengine mengi.

Sasa kijana wenu, Jumatano hii, napokea gari la ndoto yangu, Bentley Flying Spur 2026. Nawakaribisha wote mje muone gari langu la kifahari, na ni ruksa kwa wanachama wote wa JamiiForums kupiga nalo picha.

f34c5810-123c-459c-be99-aa7d6a783e7e.jpg
47ed23fa-8dff-4349-a13f-3820418b5631.jpg
 
Back
Top Bottom