Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 21,380
- 56,036
Mdogo wetu huyu anaandika mambo ya human trafficking bila kujua doria mtandaoni huwa inapita humu 🤣🤣🤣
Lakini tunaishi naye tu

Wakuu salam alykum
Ndugu katika imani niseme ukweli tu.
Sio kama nina hali ngumu ya maisha laaah ila tu kiukweli sina.amani na maisha ya mjini.
Napachukia sana sna sana sana
Natamani nikaishi vijijini huko mbali kabisa.
Mi kazi yangu ikawa ni kulima, kufuga na kufanya kazi za kijijini.
Napenda sana niwe karibu zaidi na nature, tofauti na maisha ya huku mjini kelele, joto na ugomvi kila siku.
Napenda maisha ya kukaa mbali na ndgu jamaa na marafiki nataka niwe na mtandao mdogo sana wa marafiki tena sio marafiki ni kama majirani tu.
Napenda maisha yangu yote nimalizie huko.
Napenda niishi kama babu zetu ambao walikua wanakaa vijijini huko ndani ndani ndio kitu napenda.
Je nafanyaje ili niweze kufanikisha jambo langu....
Nitafurahi sana pia akipatikana mtu ambaye ana wiwa kushirikiana na mimi katika hili.. au atakae nipa wazo Bora la mimi nafikaje huko.
Asanteni 🙏🙏🙏🙏🙏
#twendezetukijijini Jumlisha
Hapa ni kwa mganga acha uongoWelcome kijijini kijana
View attachment 3553896
Tunafanana sana na wewe,hivyo nilinunua shamba kijijini wilaya nkasi,kwenye kijiji cha cini na nilijenga nyumba ya tofalinza kuchoma,nikaweka sola wakati huo umeme ulikuwa hakuna,sasa upo huwa naenda nakaa miezi 3 au 4 hivi ni raha sana.Sasa tafuta shamba kwenye kijiji ama kwenye mkoa ulikozaliwa au kwenye mkoa wenye rutba,mvua nzuri na ambapo kuna maji ili uchimbe kisima,jenga nyumba ya vyumba 3 basi uanze kilimo utafutahiWakuu salam alykum
Ndugu katika imani niseme ukweli tu.
Sio kama nina hali ngumu ya maisha laaah ila tu kiukweli sina.amani na maisha ya mjini.
Napachukia sana sna sana sana
Natamani nikaishi vijijini huko mbali kabisa.
Mi kazi yangu ikawa ni kulima, kufuga na kufanya kazi za kijijini.
Napenda sana niwe karibu zaidi na nature, tofauti na maisha ya huku mjini kelele, joto na ugomvi kila siku.
Napenda maisha ya kukaa mbali na ndgu jamaa na marafiki nataka niwe na mtandao mdogo sana wa marafiki tena sio marafiki ni kama majirani tu.
Napenda maisha yangu yote nimalizie huko.
Napenda niishi kama babu zetu ambao walikua wanakaa vijijini huko ndani ndani ndio kitu napenda.
Je nafanyaje ili niweze kufanikisha jambo langu....
Nitafurahi sana pia akipatikana mtu ambaye ana wiwa kushirikiana na mimi katika hili.. au atakae nipa wazo Bora la mimi nafikaje huko.
Asanteni 🙏🙏🙏🙏🙏
#twendezetukijijini Jumlisha
Unatumalizia MB zetu bure! Hakuna anayetamani kuishi kijijini halafu hajui cha kufanya.Wakuu salam alykum
Ndugu katika imani niseme ukweli tu.
Sio kama nina hali ngumu ya maisha laaah ila tu kiukweli sina.amani na maisha ya mjini.
Napachukia sana sna sana sana
Natamani nikaishi vijijini huko mbali kabisa.
Mi kazi yangu ikawa ni kulima, kufuga na kufanya kazi za kijijini.
Napenda sana niwe karibu zaidi na nature, tofauti na maisha ya huku mjini kelele, joto na ugomvi kila siku.
Napenda maisha ya kukaa mbali na ndgu jamaa na marafiki nataka niwe na mtandao mdogo sana wa marafiki tena sio marafiki ni kama majirani tu.
Napenda maisha yangu yote nimalizie huko.
Napenda niishi kama babu zetu ambao walikua wanakaa vijijini huko ndani ndani ndio kitu napenda.
Je nafanyaje ili niweze kufanikisha jambo langu....
Nitafurahi sana pia akipatikana mtu ambaye ana wiwa kushirikiana na mimi katika hili.. au atakae nipa wazo Bora la mimi nafikaje huko.
Asanteni 🙏🙏🙏🙏🙏
#twendezetukijijini Jumlisha
mjini ipi unayoizungumzia au daiselam😆😆😆😆😆.Wakuu salam alykum

mjini ipi unayoizungumzia au daiselam😆😆😆😆😆Wakuu salam alykum

Kumbe una kishundu.?Kishundu master
Ndugu wamekufanya nini ndugu yetu. Zingatia katika swali langu fupi ndugu imejitokeza mara mbiliWakuu salam alykum
Ndugu katika imani niseme ukweli tu.
Sio kama nina hali ngumu ya maisha laaah ila tu kiukweli sina.amani na maisha ya mjini.
Napachukia sana sna sana sana
Natamani nikaishi vijijini huko mbali kabisa.
Mi kazi yangu ikawa ni kulima, kufuga na kufanya kazi za kijijini.
Napenda sana niwe karibu zaidi na nature, tofauti na maisha ya huku mjini kelele, joto na ugomvi kila siku.
Napenda maisha ya kukaa mbali na ndgu jamaa na marafiki nataka niwe na mtandao mdogo sana wa marafiki tena sio marafiki ni kama majirani tu.
Napenda maisha yangu yote nimalizie huko.
Napenda niishi kama babu zetu ambao walikua wanakaa vijijini huko ndani ndani ndio kitu napenda.
Je nafanyaje ili niweze kufanikisha jambo langu....
Nitafurahi sana pia akipatikana mtu ambaye ana wiwa kushirikiana na mimi katika hili.. au atakae nipa wazo Bora la mimi nafikaje huko.
Asanteni 🙏🙏🙏🙏🙏
#twendezetukijijini Jumlisha
Kwangu kwenyewe bila AC hutoboi lakini nimeenda mpaka nmeondoka silijui feni wala mbu ni pure oxygen tu inshort nmerestart ubongo wanguMkuu au niende mbinga huko..
Maana kama ulivyoona maisha ya huko songea..
Sasa imagine mtu kila siku yale ndo maisha yake..
Ikifika jioni unauwezo hata wa ku observe sunset.
Wewe tangu uwepo hapa.mjini umewahi kaa siku kutazama jua likizama au kupata vitamin D asubhi
Wembamba wapo na vibabu vitajiri, kama huna sasampa zoea hiyo minyama ndio mautamu yenyewe sasa!Mguu vipi alipata ajali?
Anyway haiwezi simama mtumbo wote huo?
Mashangazi wembamba ndio habari ya mujini🔥🔥
Muache tu mi nimesoma hapa na bado nina mashaka sana!Mdogo wetu huyu anaandika mambo ya human trafficking bila kujua doria mtandaoni huwa inapita humu 🤣🤣🤣
Lakini tunaishi naye tu
Mashaka yapi tena?Muache tu mi nimesoma hapa na bado nina mashaka sana!
Huyu mleta mada hata miaka 25 sidhani kama anayo? Ndio maana anajiita poor brainUna umri gani? upo serious kweli? kijijini sio sehemu nzuri ya kuishi, magonjwa, huduma mbovu za kijamii, mzunguko mdogo wa hela na changamoto nyingine kibao, sio sehemu ya kuishi labda ni kwenda kusalimia na kurudi
Haunishukuru mama yako kwa kukuzaa na kukupa genes nzuri?Kwenye suala la mikuno alhamdullilah nina kipaji ndo nacho mshukuru Mungu..
Mimi nilivyohamia Morogoro si mlinishangaa, maisha ya mjini yalishanishinda, napenda sana kuwa secluded huku milimani.