Sina amani ya moyo na maisha ya mjini

Sina amani ya moyo na maisha ya mjini

Tupo wengi sana mkuu ila shughuli zetu zipo town na town ndiko watu wengi huja kutafuta maisha,

Ndio maana wazungu wakijaga huku kwetu wana enjoy sana mbugani, vijijini, nature. wamechoshwa sana na maisha ya kwenye majiji.
 
Nimetoka kumpeleka wife Songea vijijini huko kila nyumba wamelima mahindi na vyskula nje naweza ndo mkoa ambao ukiwa na 10k unatumia week nzima na bado change inabakia nmeondoka nmepewa vitu kibao na majirani mahind,maharage,nyanya,vtungu buree inshort ni sehemu yenye upendo wa kweli na neema ya chakula
 
Mkuu ni muda wa kurudi kijinini..
Kwanini isiwe hvi..

Maisha ya mjini ni very complicated hamna amani kabisa an
 
Hapana seran napenda nature
Seran napenda upepo.
Napenda sauti za ndege
Napenda Kulala kwenye majani
Napenda kucheza kwenye maji ya mvua
Ni raha sana kama umeshaya-experience haya maisha! Ila Kama ndio sababu kuu hata mjini kuna sehemu ukikaa unayaishi hayo maisha vzr tu!

Sangapi utasikia kelele kwenye eneo kubwa kama hili? Labda tu uwe umeamua unataka vijijini ndani huko basi..
 
Nimetoka kumpeleka wife Songea vijijini huko kila nyumba wamelima mahindi na vyskula nje naweza ndo mkoa ambao ukiwa na 10k unatumia week nzima na bado change inabakia nmeondoka nmepewa vitu kibao na majirani mahind,maharage,nyanya,vtungu buree inshort ni sehemu yenye upendo wa kweli na neema ya chakula
Mkuu au niende mbinga huko..
Maana kama ulivyoona maisha ya huko songea..

Sasa imagine mtu kila siku yale ndo maisha yake..
Ikifika jioni unauwezo hata wa ku observe sunset.

Wewe tangu uwepo hapa.mjini umewahi kaa siku kutazama jua likizama au kupata vitamin D asubhi
 
Mkuu ni muda wa kurudi kijinini..
Kwanini isiwe hvi..

Maisha ya mjini ni very complicated hamna amani kabisa an
Tupo mjini imetubidi tu kwajili ya kutafuta maisha.

Option yangu niliyotumia ni kujenga nje kidogo ya jiji (sio dsm), nachoma mafuta ila nikifika kwenye mji wangu nakuwa mbali na fujo za mjini.

wengine mjini ni kuzuri kutafuta pesa, connections, n.k. ila peace of mind ipo nje ya mjini
 
Ni raha sana kama umeshaya-experience haya maisha! Ila Kama ndio sababu kuu hata mjini kuna sehemu ukikaa unayaishi hayo maisha vzr tu!

Na kama ulienda tu kutembea mara moja ukatamani utakwama! Tafuta sehemu nje ya mji utaishi vzr tu, nina ndugu mmoja alijenga kibamba eneo kubwa sana, alikuwa na mashamba humohumo analima miti ya matunda karibu yote, anafuga kuku,samaki ana nyuki wa asali
Ana mashine ya kusaga unga wa sembe! N.k

Sangapi utasikia kelele kwenye eneo kubwa kama hili? Labda tu uwe umeamua unataka vijijini ndani huko basi..
Ila seran najua unataka niseme kitu hapa ila sisemi mi msimamo wangu ule ule nataka nikaishi kijijini...

Napenda maisha ya kijijini
Jamni seran nataka nikaishi kijijini
Nawezaje kufika huko nawezaje mimi maisha ya mjini hapana
 
Tupo mjini imetubidi tu kwajili ya kutafuta maisha.

Option yangu niliyotumia ni kujenga nje kidogo ya jiji (sio dsm), nachoma mafuta ila nikifika kwenye mji wangu nakuwa mbali na fujo za mjini.

wengine mjini ni kuzuri kutafuta pesa, connections, n.k. ila peace of mind ipo nje ya mjini
Peace of mind ni pesa bro
ukiwa na kibunda hata ukiambiwa uchili town kabisa mbn sio case.
 
Back
Top Bottom