Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 17,570
- 56,543
Nimewaza pia..
Nimewaza pia..
Mmmmmh hawa hatareee yaan hawa hawachoki aiseeeWapo wakulimaView attachment 3553906
Hapana achani kuwaza mambo ya ajbuNimewaza pia..
Si hata sahiviMufti daki sa ngapi kwanza mana selewi hapa 😂😂😂😂
Sasa kwa akili hizo ndio uta-survive bush?Mmmmmh hawa hatareee yaan hawa hawachoki aiseee
Unaweza kwenda hata round 7 ila wapi
Mi hawa hapana
Seran wewe by nature pia ni mkorofiVibinti vipo ila kwa uhuni wake huyo mbaba ndio kavikomalia na kuvuta picha zisizokuwepo!
Mkuu naweza ku survival vizri tuu..Sasa kwa akili hizo ndio uta-survive bush?
Kwahiyo hapo unatumia kiungo gani mkuu 😎Mkuu mi sinywi nimeacha mbona 😂😂😂😂😂😂
Jamaaa kama unataka kunigombanisha na watu humu..Umesema hapa wewe huna hali ngumu ya maisha mifuko imejaa mapene ya kutosha au sijasoma vizuri?
Kishundu masterhivi hicho hapo mwisho ni nn naona kinabaunsi tu
Seran tafadhali mimi natumia mchai chai tuu basiKwahiyo hapo unatumia kiungo gani mkuu 😎
Wanachoka na kazi za shamba mno!Mmmmmh hawa hatareee yaan hawa hawachoki aiseee
Unaweza kwenda hata round 7 ila wapi
Mi hawa hapana
Mkuu haya ni maisha sasa
Noo! Kuna mtu alinipigia alishangaa nilivyo mpole☺️🤸🏽♀️Seran wewe by nature pia ni mkorofi
Mmmh seriously...Wanachoka na kazi za shamba mno!
Hamna kitu kama hiko unaonekana tu 😂😂😂😂😂😂😂😂Noo! Kuna mtu alinipigia alishangaa nilivyo mpole☺️🤸🏽♀️
Seran tafadhali mimi natumia mchai chai tuu basi
Karibu tupateSi hata sahivi
Mimi nasubiri saa kumi
Bomboclattttttt 😂😂😂😂😂😂😂😂😂