Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,369
- 10,416
Mtoa mada hana lolote ameanzisha uzi ili kusogeza muda wa daku tu
Unaona akili zako? Unawaza mikuno na malipo tu🤦🏽♀️Mmmh seriously...
Weeeh inamana mfano ukampata kama huyu ukawa unamkamia ile vilivyo ukute pesa ya kazi za shamba akawa anakupa sio..?
😋😋😋😋
Mi mpole mno kaka pua..Hamna kitu kama hiko unaonekana tu 😂😂😂😂😂😂😂😂
Mkuu tafadhali bana soon naelekea kijijini mimi 😁😁😁Mtoa mada hana lolote ameanzisha uzi ili kusogeza muda wa daku tu
Kwenye suala la mikuno alhamdullilah nina kipaji ndo nacho mshukuru Mungu..Unaona akili zako? Unawaza mikuno na malipo tu🤦🏽♀️
Sawa sawaMi mpole mno kaka pua..
Kwahiyo kijana unatutia majaribuni sio?
Kijijini ni kazi kazi hakuna muda wa mapenziSawa sawa
Sasa huo.upole wako ukiwa kijijini utakua 3x believe me
Hapana ndo ukweli huo..Kwahiyo kijana unatutia majaribu sio?View attachment 3553913
Vijijini navyoenda mimi sio kazi hvo banaKijijini ni kazi kazi hakuna muda wa mapenzi
Hapana ndo ukweli huo..
Imefikia kipindi waty wananiwekea dawa ili nisije kamia waty wengine
Mguu vipi alipata ajali?Husikiagi weweView attachment 3553905
Angalia avatar yangu halafu unilipeYou kill me
Naomba nikutafute unitumie hizi picha kwa gharama yoyote ile nipo tayari
Hakuna masharti Mkuu aisee nitakupa hilo dili nakusanya vielelezo nataka nikimaliza hiyo itakuwa ni Kama nitoke vipi kama ya Bwana Misosi 😉Em naomba hilo dili nione kama masharti ntayaweza 😎
TawireHakuna masharti Mkuu aisee nitakupa hilo dili nakusanya vielelezo nataka nikimaliza hiyo itakuwa ni Kama nitoke vipi kama ya Bwana Misosi 😉
Easy sana Mkuu nakusanya vielelezo vyenye ushahidi usio na chembe ya shaka, asilimia 80 ya vielelezo vipo tayari 🤣Tawire
Tulia bwana mdogo😂😂😂😂😂😂🙏🙏🙏🙏🫵🫵🫵🫵
Mbaga daaaah wewe achana na hizi mambo
Nakubali 🤝Easy sana Mkuu nakusanya vielelezo vyenye ushahidi usio na chembe ya shaka, asilimia 80 ya vielelezo vipo tayari 🤣