Sina amani ya moyo na maisha ya mjini

Sina amani ya moyo na maisha ya mjini

Kama una laki tano njoo nikupe heka 4 ni sehem tulivu ina vitu vya asil kama milima ambayo ukipanda juu yake nyuma yako unaona vijiji na jins mungu alivyofanya uumbaj mbele yako utauona mji ulivyojengeka na mengine meng oya lak tano tu nakua heka 4
 
Baada ya kuwachoka mashangazi!! unataka sasa ukaanze kula wa kienyeji wa kijijini!!!


Kijana! Kijana! Kijana!
 
Mi nakushauri nenda kule karatu kuna kijiji kinaitwa Mang’ora, kamata Muhadzabe mmoja uoe na wewe unakuwa miongoni mwao, wale hata mashamba hawana.
Kazi yao ni kuwinda, kupika , kula na kutiana!

View attachment 3553935
Mkuu naomba connection nifike huko nipo tayari .
Tena hapo umeongea kitu muhimu sana uliposema ni kula na kutiana tuu hilo ndo jambo nataka
 
Kama una laki tano njoo nikupe heka 4 ni sehem tulivu ina vitu vya asil kama milima ambayo ukipanda juu yake nyuma yako unaona vijiji na jins mungu alivyofanya uumbaj mbele yako utauona mji ulivyojengeka na mengine meng oya lak tano tu nakua heka 4
Mr pipa naweza nikawa nalipa nusu nusu mkuu..
Nipo tayari mkuu
 
Ukiona hivyo ujue umekua.
Watu wazima wengi wako kama wewe.
Daaah kweli mkuu naweza sema hivo lakini hii ilikua toka utoto wangu wote ujue..

Sasa najikuta mwaka huu hali imekataa kabisa kuishi mjini na sio kwamba babu hana mashamba ndani ndani huko .

Anayo ila sasa kukaaa kwenye ring ya family staki kuna mambo mengi sana
 
Tunafanana sana na wewe,hivyo nilinunua shamba kijijini wilaya nkasi,kwenye kijiji cha cini na nilijenga nyumba ya tofalinza kuchoma,nikaweka sola wakati huo umeme ulikuwa hakuna,sasa upo huwa naenda nakaa miezi 3 au 4 hivi ni raha sana.Sasa tafuta shamba kwenye kijiji ama kwenye mkoa ulikozaliwa au kwenye mkoa wenye rutba,mvua nzuri na ambapo kuna maji ili uchimbe kisima,jenga nyumba ya vyumba 3 basi uanze kilimo utafutahi
Daaah shekhe wangu umefika mbali kusema nijenge au ninunue mashamba..
Huko bado sijafikia ila tu nataka ndo nianze from scratch sio kama nipo financial stable.
Lengo la kwenda kule ni kupata amani ya moyo haijalishi naenda kufikia wapi ila nachotaka kuishi kule tu
 
Mjini kwa sasa unajishughulisha na nini?
Maswali gani haya mkuu..
Oky kwa sasa mjini nipo nipo tu nakomaa na biashara ndogo ndogo ya kuuza vinamba.
IMG_20260303_154421.jpg
 
Una umri gani? upo serious kweli? kijijini sio sehemu nzuri ya kuishi, magonjwa, huduma mbovu za kijamii, mzunguko mdogo wa hela na changamoto nyingine kibao, sio sehemu ya kuishi labda ni kwenda kusalimia na kurudi
Mkuu think twice..
Ulichoongea ni kweli ila ilikua zamani kwa sasa vijijini kuna huduma za jamii kama zote na ishu ya maginjwa ni very rarely kule
 
Una umri gani? upo serious kweli? kijijini sio sehemu nzuri ya kuishi, magonjwa, huduma mbovu za kijamii, mzunguko mdogo wa hela na changamoto nyingine kibao, sio sehemu ya kuishi labda ni kwenda kusalimia na kurudi
Umri wangu nikijana tu wa miaka ya kawaida
 
Ndugu wamekufanya nini ndugu yetu. Zingatia katika swali langu fupi ndugu imejitokeza mara mbili
Ndgu life la mjini silielewi mkuu kweli sielewi mkuu najikuta naingia kwenye msongo wa mawazo wakati life ni very short na bado unakua unawaza waza tu..

Kiukweli ndgu natamani life hata la kuwa mbali na simu au mitandao kabisa an mi nipate access ya kuishi kijijini huko no 5G but peace 💯

Mkuu sijui nisemeje
 
Back
Top Bottom