Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,852
- 58,642
- Thread starter
- #201
Sio tukuyu tu an watu wa kijijini ndo wanaishi maisha aiseee..Simple tu. Wengi wanapostafu utafutataji wanatamani waishie kwenye maisha kama hayo ya kijijini. Tatizo tu linakuwa uwezo kiuchumi.
Kama umejipata kiuchumi ni rahisi kwako maeneo Tanzania yenye nature ni mengi tena makubwa. Ni uwezo wako tu.
Nakuchagulia kaishi Tukuyu kanunue pembeni ya mto. Utafiti wanaishi tukuyu wanaishi miaka mingi
Kule ndo unakutana na wazee sio.huku mjini uwezi kutana nao wengi wanakata moto mapema