Sina amani ya moyo na maisha ya mjini

Sina amani ya moyo na maisha ya mjini

Raha sana sana sana kuna sehemu tanga ndani ndani mpaka nasemaga sizani kama kuna watu wanazeeka kule.

Nashangaa wanaotoka vijijini kuja mjini for what reason...

Watu hawajui tu how nature is beautiful na ndio maana watu wakubwa unakuta wanaenda kutalii ndani ndani huko...

Sasa just imagine sehemu ambayo watu wanaenda kutalii na kupunguza stress wewe yale ndo maisha yako
Wala usiwashangae sio kila mtu anapenda nature, hizo vurugu unazozikimbia wenzio ndio wanazipenda, hata wao wanakushangaa kutoka mjini kwenda kijijini
 
Nimetoka kumpeleka wife Songea vijijini huko kila nyumba wamelima mahindi na vyskula nje naweza ndo mkoa ambao ukiwa na 10k unatumia week nzima na bado change inabakia nmeondoka nmepewa vitu kibao na majirani mahind,maharage,nyanya,vtungu buree inshort ni sehemu yenye upendo wa kweli na neema ya chakula
Kaka NIKISHA WAHI SEMA HUMU Kuna WATU wakazani natania, eti mbeya, mbeya, HAPO songea SIKU MOJA NIMESEMA Leo NGOJA nile stand NIKIWA kwenye hustle ZANGU kwanza nikashangaa eti mama ntilie wanauza UGALI kuku, MMH nikauliza shingapi, eti elfu MBILI, bro niligoma KULA NIKAOGOPA, nikapanda HUKU JUU nikauliza chips yai shingapi nikaambiwa buku. Nika TOKA nduki half cake mia MBILI nikazipalamia weee.
 
Dogo ameteleza sana kuandika hayo maneno 😀

Halafu hiyo human trafficking ni moja ya kesi hata kama sio kesi lakini ni jambo ambalo halifai kabisa kuliweka kwenye mijadala hasa kwenye mitandao ya kijamii kama humu.

Maana humu watu wanachukulia poa lakini kuna watu huwa wanakufuatilia unapotoka na unapoenda.

Nina ushahidi na hili kupitia thread ya mdau fulani. Na ilishawahi kunitokea halafu ni jambo la kawaida tu, lakini kila sehemu nilikokuwa naenda taarifa zangu zilikuwepo.
Aiseee pole sana, tuweni makini na maneno tunayotumia! Global crime kama hizi sio za kuletea mizaha kabisa! Anything can happen..
 
Haha chunga usije ukatupiwa majini huko uendako.
Sijakupa background yangu ww..
Oky mi bibi yangu mganga..
Baba angu nu shekhe wa vitabu yule wa kutengeneza makombe...

In general am son of protectively family both in father and mother generations
 
Dogo ameteleza sana kuandika hayo maneno 😀

Halafu hiyo human trafficking ni moja ya kesi hata kama sio kesi lakini ni jambo ambalo halifai kabisa kuliweka kwenye mijadala hasa kwenye mitandao ya kijamii kama humu.

Maana humu watu wanachukulia poa lakini kuna watu huwa wanakufuatilia unapotoka na unapoenda.

Nina ushahidi na hili kupitia thread ya mdau fulani. Na ilishawahi kunitokea halafu ni jambo la kawaida tu, lakini kila sehemu nilikokuwa naenda taarifa zangu zilikuwepo.
Ni mbaga huyo 😃😃😃😃😃
 
MI BADO NAKIWAZIA KISIWA CHA MAFIA,

MAISHA YA UPWEKE YASIYO NA KELELE

SWIMMING KWENYE NATURAL WATER


KUJICHANGANYA NA WATU KUTOKA NJE

USALAMA, MABOMU HAYAFIKI KULE


ENVIRONMENTAL POLLUTION IKO LOW AU HAKUNA KABISA

USTAARABU, NO MAKELELE

HUFIKIKI KIWEPESI
 
Daaah shekhe wangu umefika mbali kusema nijenge au ninunue mashamba..
Huko bado sijafikia ila tu nataka ndo nianze from scratch sio kama nipo financial stable.
Lengo la kwenda kule ni kupata amani ya moyo haijalishi naenda kufikia wapi ila nachotaka kuishi kule tu
Ok lakini muda wa kuanza hiyo mipango ni huu sasa
 
MI BADO NAKIWAZIA KISIWA CHA MAFIA,

MAISHA YA UPWEKE YASIYO NA KELELE

SWIMMING KWENYE NATURAL WATER


KUJICHANGANYA NA WATU KUTOKA NJE

USALAMA, MABOMU HAYAFIKI KULE


ENVIRONMENTAL POLLUTION IKO LOW AU HAKUNA KABISA

USTAARABU, NO MAKELELE

HUFIKIKI KIWEPESI
Mkuu mafia kule mama yangu mzazi amekaa kule..
Tatizo la mafia mpaka watu wengi hawaendi kule ni kwamba kuna uswahili mwingi.
Kulogana na mambo ya ubaguzi..
Ila sizani kama bado yanaendelea.

Kingine kumbuka kile ni kisiwa hivo kuna viti huwezi pata kama ile natural fresh water kwa kule ni kimbembe au kuna mito kule
 
Easy! maisha yashakupiga hapa mjini ndio maana umeandika huu uzi .
Pole sana ndio life lilivyo meza inapinduka anytime 🤣
Few years back nilikua down sana niliandika Uzi humu ili kupoteza grief kidogo, nakumbuka ulinikejeli sana humu kuchekesha wamama humu ndani na nikweli walinicheka sana.
Sasa juzi kati nimeona umepost sehemu ukiulizia kuhusu biashara ya kukaanga viherufi asee🤣🤣

Huna lolote life limekukaanga vilivyo bwege wewe

Weka namba uokote
 
Daaah kweli mkuu naweza sema hivo lakini hii ilikua toka utoto wangu wote ujue..

Sasa najikuta mwaka huu hali imekataa kabisa kuishi mjini na sio kwamba babu hana mashamba ndani ndani huko .

Anayo ila sasa kukaaa kwenye ring ya family staki kuna mambo mengi sana

Basi ulikuwa na akili toka utotoni
 
Mkuu think twice..
Ulichoongea ni kweli ila ilikua zamani kwa sasa vijijini kuna huduma za jamii kama zote na ishu ya maginjwa ni very rarely kule
Mkuu nazungumza uhalisia kabisa, wengi waliotoka vijijini wakifika mjini hawasemi ukweli kiasi kwamba kuna watu wanaingizwa chaka kama wewe, ila utakumbuka hii comment siku moja. Mimi nimezunguka sana mikoani napafahamu mkuu
 
Back
Top Bottom