Sina amani ya moyo na maisha ya mjini

Sina amani ya moyo na maisha ya mjini

Namshukuru Mungu sana sikua na shobo za kuishi majiji makubwa hasa mijini changanyikeni!!

Wakati na graduate pale udsm ,profesa mmoja alituambia live kabisa kwamba mkaishi kule Kuna hewa safi na stress free hakuna makelele !!

Nilimuelewa sana!Hadi leo Kila mji unaponifuata nasogea mbele yake !nahama kila baada ya miaka kumi na mbili mji ukisogea nasogea!!

Kuna utulivu,amani tele na Mungu anasema nasi kama kina Musa,Nuhu na yesu akiwa mlimani na wanafunzi wake!!

Karibu kijijini comrade!!
 
Wakuu salam alykum
Ndugu katika imani niseme ukweli tu.
Sio kama nina hali ngumu ya maisha laaah ila tu kiukweli sina.amani na maisha ya mjini.

Napachukia sana sna sana sana
Natamani nikaishi vijijini huko mbali kabisa.

Mi kazi yangu ikawa ni kulima, kufuga na kufanya kazi za kijijini.

Napenda sana niwe karibu zaidi na nature, tofauti na maisha ya huku mjini kelele, joto na ugomvi kila siku.

Napenda maisha ya kukaa mbali na ndgu jamaa na marafiki nataka niwe na mtandao mdogo sana wa marafiki tena sio marafiki ni kama majirani tu.

Napenda maisha yangu yote nimalizie huko.

Napenda niishi kama babu zetu ambao walikua wanakaa vijijini huko ndani ndani ndio kitu napenda.

Je nafanyaje ili niweze kufanikisha jambo langu....

Nitafurahi sana pia akipatikana mtu ambaye ana wiwa kushirikiana na mimi katika hili.. au atakae nipa wazo Bora la mimi nafikaje huko.

Asanteni 🙏🙏🙏🙏🙏
#twendezetukijijini Jumlisha
Kama UKo serious njooo mbeya nitakupeleka kijiji ambacho utasahau shida za mjini ila utapata huduma zote mpaka mishangqzi ila kikubwa uwe ni mtu mwenye vision na focus ili ufanikiwe usije ukanitia aibu wakaqnza kusema aliletwa na fulani
 
Hahah haya ndo maisha yangu kabisa.... sema Mimi nimeyaishi kwa vitendo!!

Sehemu zenye hewa safi, nature ya kutosha n.k

Maisha ya hivi unaweza yaishi popote, sema town ili uishi hivi inabidi pesa yako iwe ndefu sana.

Moja ya faida kuishi sehemu hizi....
Kama ni mtu wa ibada,, utakuwa karibu na Mungu sana kiasi kwamba utaishi kama wale watu wa zamani.
Wewe circle yako ya maovu inakuwa ndogo kabisa😁

Karibu kwenye malango ya uchamungu
 
Mkuu mafia kule mama yangu mzazi amekaa kule..
Tatizo la mafia mpaka watu wengi hawaendi kule ni kwamba kuna uswahili mwingi.
Kulogana na mambo ya ubaguzi..
Ila sizani kama bado yanaendelea.

Kingine kumbuka kile ni kisiwa hivo kuna viti huwezi pata kama ile natural fresh water kwa kule ni kimbembe au kuna mito kule
KAKA WAISLAMU TUNAAMINI KWENYE KADAR KAKA SASA KAMA UNAOGOPA USWAHILI WA WATU WA KULE UTAISHI WAPI SASA, OKTOBA 29 WATU WAMEULIWA HOVYO, BILA HATIA KWA HIYO WEWE HATA USIPO ENDA MAFIA UKAENDA ARUSHA VIJIJINI KAMA MTU ATATAKA KUKUDHURU ATA KUDHURU TU MKUU,

KULE PAKO SALAMA SANA, HAMNA KUFATILIANA LABDA WE UENDE KUFANYA MAMBO YAKO ILA KAMA UKITAKA KWENDA KUTULIA ZAKO MAHALA BILA KUBUGUDHI WATU, AMANI TU MBONA
 
Mkuu nazungumza uhalisia kabisa, wengi waliotoka vijijini wakifika mjini hawasemi ukweli kiasi kwamba kuna watu wanaingizwa chaka kama wewe, ila utakumbuka hii comment siku moja. Mimi nimezunguka sana mikoani napafahamu mkuu
Mkuu sawa umezunguka lakini kumbuka vijijini sio sawa na mjini ukifananisha kwenye ishu ya magonjwa.

Mjini pamechafukwa mkuu
 
Kama UKo serious njooo mbeya nitakupeleka kijiji ambacho utasahau shida za mjini ila utapata huduma zote mpaka mishangqzi ila kikubwa uwe ni mtu mwenye vision na focus ili ufanikiwe usije ukanitia aibu wakaqnza kusema aliletwa na fulani
Mkuu mbeya sehemu gani..
Tukuyu
Kiwira
Chunya ...nk

Oky nipo tayari naomba tuongee zaidi...
 
Namshukuru Mungu sana sikua na shobo za kuishi majiji makubwa hasa mijini changanyikeni!!

Wakati na graduate pale udsm ,profesa mmoja alituambia live kabisa kwamba mkaishi kule Kuna hewa safi na stress free hakuna makelele !!

Nilimuelewa sana!Hadi leo Kila mji unaponifuata nasogea mbele yake !nahama kila baada ya miaka kumi na mbili mji ukisogea nasogea!!

Kuna utulivu,amani tele na Mungu anasema nasi kama kina Musa,Nuhu na yesu akiwa mlimani na wanafunzi wake!!

Karibu kijijini comrade!!
Nakaribia mkuu..
Numekuja stuka mwishoni mwishoni japo wengine wanapinga hili kwa kusema kijijini hakuna huduma za jamiii..

Ni jambo ambalo si kweli maana vijiji ambavyo unasema hakuna huduma za jamii jua kabisa huko hata watu hakuna
 
Hao watu wa kijijini wanapenda hela hatari, njaa kali
😂😂😂😂 Et njaa kali...
Wakati huko ndo wanapolima
Mpaka sasa naambiwa kule lita ya maziwa napata kwa. Buku yaan just imagine chupa kubwa la maziwa kwa buku....

Nyie mnachekesha kumbe
 
Kijana una stress
Stress ninazo kila siku mkuu...
Nyingi sana kuna mda naonaga wale waliozaliwa miaka ya 60 huko wameshapitia haya nayopitia mimi wakiwa katika safe environment kuliko mimi...

Mkuuu natamani kuishi vijijini hukooo
 
Sisi tulioko vijijini tunatamani turudi mjini
 
Hahah haya ndo maisha yangu kabisa.... sema Mimi nimeyaishi kwa vitendo!!

Sehemu zenye hewa safi, nature ya kutosha n.k

Maisha ya hivi unaweza yaishi popote, sema town ili uishi hivi inabidi pesa yako iwe ndefu sana.

Moja ya faida kuishi sehemu hizi....
Kama ni mtu wa ibada,, utakuwa karibu na Mungu sana kiasi kwamba utaishi kama wale watu wa zamani.
Wewe circle yako ya maovu inakuwa ndogo kabisa😁

Karibu kwenye malango ya uchamungu
Mkuu kweli kabisa hili suala la dhambi na kuwa mbali na maovu hata sikuwaza ila hapa umenitonya kabisa inaweza kuwa hii ni sababu kubwa kuliko zile nazowaza mimi
 
Back
Top Bottom