Sina amani ya moyo na maisha ya mjini

Sina amani ya moyo na maisha ya mjini

Mkuu au niende mbinga huko..
Maana kama ulivyoona maisha ya huko songea..

Sasa imagine mtu kila siku yale ndo maisha yake..
Ikifika jioni unauwezo hata wa ku observe sunset.

Wewe tangu uwepo hapa.mjini umewahi kaa siku kutazama jua likizama au kupata vitamin D asubhi
Jua linatoka limeshakomaa, linavyochoma Kama moto wa milele hili unatoa wapi vitamin D🙌🏾

Njoo kupeleke usukumani huko ukajijifunze kukandamiza! Kumejaa upendo hatari!
 
Tupo mjini imetubidi tu kwajili ya kutafuta maisha.

Option yangu niliyotumia ni kujenga nje kidogo ya jiji (sio dsm), nachoma mafuta ila nikifika kwenye mji wangu nakuwa mbali na fujo za mjini.

wengine mjini ni kuzuri kutafuta pesa, connections, n.k. ila peace of mind ipo nje ya mjini
Niseme.mkuu kuwa wewe ume win sana 👏👏👏👏

Hayo maisha ni kama ndoto kwa watu wengine.
Still nina hizo ndoto
 
Ukimaanisha nini mkuu
off-grid_homestead-768x432.jpeg
 
Wewe tangu uwepo hapa.mjini umewahi kaa siku kutazama jua likizama au kupata vitamin D asubhi
Nyota unaziona vizuri hakuna taa za nyumba au za mabarabara, saa tatu ushaanza kusikia usingizi
 
Jua linatoka limeshakomaa, linavyochoma Kama moto wa milele hili unatoa wapi vitamin D🙌🏾

Njoo kupeleke usukumani huko ukajijifunze kukandamaiza! Kumejaa upendo hatari!
Nipp tayari hapa nipo tayari...
Nipo tayari kabisa...

Moshi ndani ndani huko mna amka asubuhi kuna ukungu just imagine that life just imagine..

Unaweza kusema upo Indonesia huko daaah
 
Ila seran najua unataka niseme kitu hapa ila sisemi mi msimamo wangu ule ule nataka nikaishi kijijini...

Napenda maisha ya kijijini
Jamni seran nataka nikaishi kijijini
Nawezaje kufika huko nawezaje mimi maisha ya mjini hapana
Hmm are you okay? Anyways.. chekecha ushauri huu ufanye maamuzi mazuri..
 
we ni maamuzi yako tu hata ukitaka kuishi mars ni sawa pia, lakini uende ukiwa umemaliza madeni yetu, usizue taharuki kwa kupotea kimya kimya😁..jokes .
Daaah umenikumbusha juzi walinitafuta wale wa pesa fasta wa mikopo ""Bro sisi hatusaidii maskini fanya ulipe pesa yetu ""
Just imagine watu wa mjini hawana utu kabisa ni bora kuishi vijijini huko mkuu 😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom