Sina amani ya moyo na maisha ya mjini

Sina amani ya moyo na maisha ya mjini

Simple sana
Japo vijiji vya sasa vimeeendelea kuna mdaa asili inapotea ila maisha ya kijiji raha sana hakuna foleni hakuna kelele za ovyo Kuna upendo
Raha sana sana sana kuna sehemu tanga ndani ndani mpaka nasemaga sizani kama kuna watu wanazeeka kule.

Nashangaa wanaotoka vijijini kuja mjini for what reason...

Watu hawajui tu how nature is beautiful na ndio maana watu wakubwa unakuta wanaenda kutalii ndani ndani huko...

Sasa just imagine sehemu ambayo watu wanaenda kutalii na kupunguza stress wewe yale ndo maisha yako
 
Huyu dogo kuna dili nilitaka kumpa kalikataa 🤣
Hawezi lolote huyu wacha aendelee kujitafuta akijipata ataacha hizi nyepesi nyepesi
Manyanza kwa lile dili lako bora nikalime tu kaka au mara kumi nende buguruni kubeba viroba vya unga..

Au nikauze chenji tuu kama ushauri napewagwa na Evelyn Salt
 
Hapana sijapuuzia wala ...
Sijapuuzia ila sijui naanzia wapi mkuu
Sijui naanzia wapi sasa..

Ila ushauri wa kuwowa vibinti vidogo ule bado ninao na unanipa hamasa zaidi 😋😋😋😋😋😋
Ulishawahi kukaa hata mwaka mmoja kijijini? Usije kurudi kwa spidi zote town!

Kama kinachokupeleka ni mabinti wadogo, tulia mjini tukutafutie taratibu😃
 
Raha sana sana sana kuna sehemu tanga ndani ndani mpaka nasemaga sizani kama kuna watu wanazeeka kule.

Nashangaa wanaotoka vijijini kuja mjini for what reason...

Watu hawajui tu how nature is beautiful na ndio maana watu wakubwa unakuta wanaenda kutalii ndani ndani huko...

Sasa just imagine sehemu ambayo watu wanaenda kutalii na kupunguza stress wewe yale ndo maisha yako
Si ndio kijijini ni raha sana nishawai kwenda camping maeeneo Fulani ni vijiji vya ndani ndani sana aisee yale maisha niliyapenda sana mpaka leo nipo town sababu ya natafuta ela ya Toyota Hilux gr ya 2018 niki hipata hii naamia bush asubuhi nikalime
 
Wakuu salam alykum
Ndugu katika imani niseme ukweli tu.
Sio kama nina hali ngumu ya maisha laaah ila tu kiukweli sina.amani na maisha ya mjini.

Napachukia sana sna sana sana
Natamani nikaishi vijijini huko mbali kabisa.

Mi kazi yangu ikawa ni kulima, kufuga na kufanya kazi za kijijini.

Napenda sana niwe karibu zaidi na nature, tofauti na maisha ya huku mjini kelele, joto na ugomvi kila siku.

Napenda maisha ya kukaa mbali na ndgu jamaa na marafiki nataka niwe na mtandao mdogo sana wa marafiki tena sio marafiki ni kama majirani tu.

Napenda maisha yangu yote nimalizie huko.

Napenda niishi kama babu zetu ambao walikua wanakaa vijijini huko ndani ndani ndio kitu napenda.

Je nafanyaje ili niweze kufanikisha jambo langu....

Nitafurahi sana pia akipatikana mtu ambaye ana wiwa kushirikiana na mimi katika hili.. au atakae nipa wazo Bora la mimi nafikaje huko.

Asanteni 🙏🙏🙏🙏🙏
Off grid life
 
Ulishawahi kukaa hata mwaka mmoja kijijini? Usije kurudi kwa spidi zote town!

Kama kinachokupeleka ni mabinti wadogo, tulia mjini tukutafutie taratibu😃
Hapana seran napenda nature
Seran napenda upepo.
Napenda sauti za ndege
Napenda Kulala kwenye majani
Napenda kucheza kwenye maji ya mvua
 
Si ndio kijijini ni raha sana nishawai kwenda camping maeeneo Fulani ni vijiji vya ndani ndani sana aisee yale maisha niliyapenda sana mpaka leo nipo town sababu ya natafuta ela ya Toyota Hilux gr ya 2018 niki hipata hii naamia bush asubuhi nikalime
Mkuu naomba wewe uwe miongoni mwa ambao takua nao katika hii kampeni ya kurudi kijinini.

🙏🙏🙏🙏 Umetoa ushuhuda mzuri sna
 
Back
Top Bottom