Simwelewi rafiki yangu anataka nini kwangu

Simwelewi rafiki yangu anataka nini kwangu

1. Kakuzimia lakini kwa vile unamjua kuwa ni mfia dini imebidi aishi nawe kwa imani... mpaka apate maono yatakayo mwambia sasa atete na wewe.
2. Kwa akili za hao jamaa labda keshajiaminisha kuwa wewe ndiye aliyepewa sasa anangoja akabidhiwe rasmi tu kwa wewe kumuonesha kuwa unamlove!
3. Anaskilizia upepo unaendaje
4. Ana upendo wa agape...
5. Ni rafiki wa kawaida tu amevutiwa na wewe lakini hajakupenda..
 
Mmmmhhh...Mheshimiwa na Wewe huwa unatembea huku au siyo Wewe Wa kule kwa KUU???
Siku moja moja huwa napitia majukwaa mengine, si unajua fahari ya macho, saa nyingine ubongo unahitaji kudadavua vitu tofauti ati!!!!!!!
 
Humielewi Nn sasa huyo ni true friend kwako Au ww unawaza ngono tu juu yake??kwenye maisha kuna wengine ni marafiki tu wa kimaisha
 
He is a good looking guy with a gentleman's behaviour.

Mpaka hapo pia na wewe yaonesha unampenda. Ni hivi, kuna mambo kadhaa ya kutafiti zaidi:-
1. Yaweza kuwa ni domo zege kama Waswahili wanavyosema,
2. Ana tatizo la kimaumbile yaani dushe ni dogo au halisimami hivyo he feels inferior to you.
3. Yaweza kuwa wewe mwenyewe ni tatizo (jicheki mwenendo)
4. Bado haja accomplish aliyopanga kufanya kimaisha
5. Wewe pia huja connect to his spiritual way (I mean Godly one)
6. Na vitu kama hivyo
 
Ni kweli mtani, halafu gentleman wa ukweli. Kwa mtu uliyekamilika ni shida sana. Hata hivyo dada yangu ni mvumilivu.
Teh teh, dada yako alishindwa kukiri kama kweli miaka minne hakuwahi kuchezea maungo mengine. Seems hata kwa mlokole amejiegesha tu, lakini alipata huduma smwhr.
 
Teh teh, dada yako alishindwa kukiri kama kweli miaka minne hakuwahi kuchezea maungo mengine. Seems hata kwa mlokole alijiegesha tu, lakini alipata huduma smwhr. .
Hili siwezi kulisemea mtani as long as sina ithibati. Labda aseme mwenyewe dada yangu.
 
Ningeelewa kama ingekuwa company tu, sasa na mambo ya kuniwekea pesa kwenye bahasha nayo ni company?
We mtoto haijatinga lweli hii hadithi, naomba jimapili hii nikukaribishe kanisani kwetu.
 
hahah
Habari za kutwa waungwana,

Nina rafiki tumefahamiana miaka minne iliyopita, kufahamiana kwetu tulikutana kwenye sherehe na tulikaa viti vya karibu na tuliongea na kucheza mziki pamoja. Wakati sherehe ikiendelea nilianza kufikiria usafiri wa kunirudisha nyumbani, nilianza kumuuliza jinsi nitakavyopata tax, aliniuliza kuelelekea wapi? Hapo ndipo niligundua ni jirani yangu kabisa.

Tulichukua tax moja, na baada ya pale tulibadilishana namba za simu.
Kesho yake alinipigia simu, alinialika niende kanisani kwao, nililipenda lile kanisa, niliendelea kusali pale kwa muda. Nilikuja kufahamu huyu kaka ni mlokole wa kufa mtu, mara nyingi ananipigia simu tunachat, mazungumzo mengi ni current affairs, dini, na mara nyingine ananipa offer za dinner.

Kuna wakati nilimwambia nitakwenda nyumbani kuwaona wazazi, aliniambia nisiondoke bila kumuaga, siku ninaondoka alikuja na bahasha nzito. Niliifungua nikiwa njiani, aliniwekea mpunga wakueleweka. Nilimtumia message ya asante, alinijibu asante na karibu. Nilivyorudi nilimfahamisha nimerudi basi. Hajawahi kunisimulia habari ya girl friend, wala hajanitongoza ni mwaka wa nne huu.

Simuelewi huyu rafiki yangu nisaidieni ndugu zangu.
a urafiki tu
 
Duu ushampenda jamaa ila kumuambia unashindwa na yeye anashindwa.. Wewe siku jishebedue umpe papuchi mtaanzia hapo hapo. Ila huyo jamaa nae na mm simuelewi,asije akawa analiwa mana huwezi kukaa na mtoto mrembo kama wewe usishike hata ta...k
 
Nimejikuta naperuzi uzi wote... Ila nimeona mapungufu haya: -
1)umeshindwa kutueleza kuwa before ushawahi kuwa na mtu
2)kwa miaka minne uliokaa na huyo mlokole wako hukuwa na mpango wa kando?
3)huogopi kuvuruga au kuvunja urafiki wenu kama ulivyodai ila unajua wazi huna nia ya kuishi na jamaa ivyo ukimfungukia utajamtosa baadae ivyo ukaona umute tu aendelee kukuletea wali birihani ni mirinda nyeusi take away.
3)kama umri umeenda lets say ur 30s jikung'ute.. Then uamue moja either kuendelea kucheza marktime au kutulia nae.
4)jiongeze na onesha nia dhabiti.. Kwan bado nashindwa kupata jibu halisi 4 years without engine acceleration? Kama umefanya bas jikatae tu mapema acha kumuektia jamaa.
 
kwahiyo unataka kutongozwa[emoji23][emoji23][emoji23]???
wanawake kwa kukamatia fursa
huyo yuko kwenye research
je wanawake wote wanauza?
 
hapo cha msingi jiongeze......chukua akil yK ya kuzaliwa changanya na za shulen if una rafiki yak wa kike na ushamsimulia hay mazur unayo tendewa ipo siku mwana si wako........
 
Eeeeee sky E clat ..... Du! Umeniacha hoi yaani kumbe hata wewe mlokole kakushika pabaya eeeee... Karohoo sasa kn tamani swaga zake,,, subiria injili ya ndoa itashuka mda usio mrefu!shika bastlo tu!!!!!!
 
Back
Top Bottom