Simwelewi rafiki yangu anataka nini kwangu

Rafiki yangu mkubwa sana wa kike aligeuka ghafla na kuwa adui yangu.Yani akaanza kunichukia kwa namna ambayo si ya kawaida.

Siku zikaenda akaolewa na sasa ana watoto wawili ndo kaweza kunambia kwanin aliamua kunuchukia that much.

Anadai nlikua namdhalilisha na sikuwa nathamini hisia zake akidai kuwa alinipa ishara nyingi akaona sina dalili.

At the same time,binafsi nlikua namuelewa lakin nlikua nahofia uwezekano wa kuharibu urafiki wetu kama hatokubaliana na swala la mapenzi so nikawa nakaa tu kimya.

Maelezo yako yanaonesha wazi unampenda huyo jamaa, kabla siku hazijaganda mwambie jamaa ukweli hata kwa kumpa vifungu vya biblia vya kutongozea,zawad kama card na vitu romantic ambavyo ujumbe utafika direct.Ukiona bado hakupi green light basi mwambie kweli unampenda.Jikaze tu umwambie.
Note: Kwa kila utachofanya,usihusishe ngono atakudharau.
Nilimnunula Bible ya leather cover Christmass moja, nanakumbuka Easter aliniambia, zawadi uliyonipa ni kubwa sana, ninakusalia kila siku kukuombea afya na mafanikio mema.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Sijaelewa hata hivyo maana ya ulokole wa kutupa.Je ni kuhudhuria kanisani mara kwa mara?Je Ulokole ni Kumcha Mungu au nini hasa? Je unafikiria Ulokole inaweza kuwa qualification mojawapo ya wewe kuwa mchumba wake iwapo atajiweka wazi mbele yako siku moja?Wewe kama binadamu una udhaifu na hivi mwanaume anayekufaa ni yule atakayekuwa na sifa kinyume na udhaifu wako ili kuleta ukamilifu(mkamilishano).Nje ya ukweli huo na msingi wa maumbile yetu kama binadamu huo ulokole utageuka kuwa " siki" badala ya maji utakapokuwa umebeba " msalaba ndoa"
Ni mlokole, inamaana haamini ngono kabla ya ndoa especially kwa mtu anaedhamiria kabisa kuwa nae. Pili kuna wakati aliniambia urafiki wetu umekuwa deep sana kiasi ambacho asingependa uvunjike.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Usije ukajilegeza kwake, atakubwaga kama tabia mbaya. Cha kufanya, kama unaona humtegemei na unahitaji ndoa, pretend kuwa na interest na another guy na usimfiche. Endapo utaona anaanza kuwa na wivu,pause the other relationship and give him space kama mpenzi. Kuna uwezekano huyo ana tatizo fulani kubwa linalomzuia kuanzisha uhusiano na ulokole ni cover tu maana ungesikia past stories n.k, pia kuna uwezekano ni domo zege asiejua pa kuanzia ingawa I doubt this part kwa sababu ungepata hata kiss ya bahati mbaya ambayo ingetrigger another page in your relationship n.k, kuna uwezekano anakupima aone ulivyo ingawa nayo ni dhaifu labda iwe research maana miaka minne kweli?
 
Habari za kutwa waungwana,
Nina rafiki tumefahamiana miaka minne iliyopita, kufahamiana kwetu tulikutana kwenye sherehe na tulikaa viti vya karibu na tuliongea na kucheza mziki pamoja. Wakati sherehe ikiendelea nilianza kufikiria usafiri wa kunirudisha nyumbani, nilianza kumuuliza jinsi nitakavyopata tax, aliniuliza kuelelekea wapi? Hapo ndipo niligundua ni jirani yangu kabisa. Tulichukua tax moja, na baada ya pale tulibadilishana namba za simu.
Kesho yake alinipigia simu, alinialika niende kanisani kwao, nililipenda lile kanisa, niliendelea kusali pale kwa muda. Nilikuja kufahamu huyu kaka ni mlokole wa kufa mtu, mara nyingi ananipigia simu tunachat, mazungumzo mengi ni current affairs, dini, na mara nyingine ananipa offer za dinner.
Kuna wakati nilimwambia nitakwenda nyumbani kuwaona wazazi, aliniambia nisiondoke bila kumuaga, siku ninaondoka alikuja na bahasha nzito. Niliifungua nikiwa njiani, aliniwekea mpunga wakueleweka. Nilimtumia message ya asante, alinijibu asante na karibu. Nilivyorudi nilimfahamisha nimerudi basi. Hajawahi kunisimulia habari ya girl friend, wala hajanitongoza ni mwaka wa nne huu.
Simuelewi huyu rafiki yangu nisaidieni ndugu zangu.
Hapo inaonekana pamekosekana mawasiliano kwenye emotional level.Kila mtu ana feel ila hampo tayari kuexpress...Ebu jikaze umwulize future yake anategemea iweje??? then mwambie hatma ya urafiki wenu ni nini???...pia tumia zile mbinu za kike(flirt) naye kwa umakini sana huku ukichunguza responses...Isijekuwa watu wanamlaumu mchizi kumbe injini....well you know the rest!
 
Ni mlokole, inamaana haamini ngono kabla ya ndoa especially kwa mtu anaedhamiria kabisa kuwa nae. Pili kuna wakati aliniambia urafiki wetu umekuwa deep sana kiasi ambacho asingependa uvunjike.

Ni sawa kama neno lenyewe siku hizi linatumika kuonyesha hali ya kutotenda dhambi.Ila neno sahihi linapaswa kuwa Uongofu kwa maana ya hali ya kujitenga na uovu kabisa yaani hali ya ukamilifu.Kuokoka ni kitu kingine kabisa na hicho wanachomaanisha.Mtu aliyeokoka ni yule asiyekabiliwa tena na temptation yoyote ya dhambi.Lakini huyo rafiki yako nijuavyo bado kuna wakati ataweza kusema uongo,kuseng'enya,kuiba au kutenda dhambi yoyote ile kama mwanadamu. Kuwa na msimamo tu kuwa hairuhusiwi kuonana kimwili na mwenza wako kabla ya ndoa haitoshi kupata tiketi ya kuwa mlokole bali muongofu.
 
Usije ukajilegeza kwake, atakubwaga kama tabia mbaya. Cha kufanya, kama unaona humtegemei na unahitaji ndoa, pretend kuwa na interest na another guy na usimfiche. Endapo utaona anaanza kuwa na wivu,pause the other relationship and give him space kama mpenzi. Kuna uwezekano huyo ana tatizo fulani kubwa linalomzuia kuanzisha uhusiano na ulokole ni cover tu maana ungesikia past stories n.k, pia kuna uwezekano ni domo zege asiejua pa kuanzia ingawa I doubt this part kwa sababu ungepata hata kiss ya bahati mbaya ambayo ingetrigger another page in your relationship n.k, kuna uwezekano anakupima aone ulivyo ingawa nayo ni dhaifu labda iwe research maana miaka minne kweli?
Asante sana kwa ushauri huu, miaka minne ni mingi, na kanisani hata nisipotokea wazee wa kanisa wanamuuliza yuko wapi mwenzako? Watu wengi hawaamini kuwa hatuna mahasiano.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Sasa na wewe nawe,hivi miaka minne yote hiyo umeshindwa namna gani unaweza kumweleza yaliyo moyoni mwako kwa dhati kabisa akakuelewa?simaanishi umtongoze la! maana yangu ni hata kumuuliza katika namna ambayo hataweza kasirika bali kwa namna ambayo ataweza funguka na akakueleza kwa yote, kwani ninyi ndio mnaojuana kwa kuwa mnaonana ,mnatoka out pamoja na hata kanisani mnaenda pamoja,sasa swali hilo unapolileta hapa unakuwa kama umekosea mlango,wee siku unayokusudia kumwambia sali,omba ,funga na namna nyingine unayoijua mvae kwa heshima na taadhima halafu umwambie bwana fulani unajua kuna kitu ninataka kukueleza ....... halafu unatiririka ,sasa una kaa na kijiba cha roho hadi lini,unajua kuna mambo mengine yanakuja kwa namna ambayo hukuifikiria.
 
Asante sana kwa ushauri huu, miaka minne ni mingi, na kanisani hata nisipotokea wazee wa kanisa wanamuuliza yuko wapi mwenzako? Watu wengi hawaamini kuwa hatuna mahasiano.
Kazi unayo aisee! Ila kama hasomeki, mimi nipo pia. I can be your friend and so so so baadae ukiwa ready! Hahahaha!
 
Habari za kutwa waungwana,
Nina rafiki tumefahamiana miaka minne iliyopita, kufahamiana kwetu tulikutana kwenye sherehe na tulikaa viti vya karibu na tuliongea na kucheza mziki pamoja. Wakati sherehe ikiendelea nilianza kufikiria usafiri wa kunirudisha nyumbani, nilianza kumuuliza jinsi nitakavyopata tax, aliniuliza kuelelekea wapi? Hapo ndipo niligundua ni jirani yangu kabisa. Tulichukua tax moja, na baada ya pale tulibadilishana namba za simu.
Kesho yake alinipigia simu, alinialika niende kanisani kwao, nililipenda lile kanisa, niliendelea kusali pale kwa muda. Nilikuja kufahamu huyu kaka ni mlokole wa kufa mtu, mara nyingi ananipigia simu tunachat, mazungumzo mengi ni current affairs, dini, na mara nyingine ananipa offer za dinner.
Kuna wakati nilimwambia nitakwenda nyumbani kuwaona wazazi, aliniambia nisiondoke bila kumuaga, siku ninaondoka alikuja na bahasha nzito. Niliifungua nikiwa njiani, aliniwekea mpunga wakueleweka. Nilimtumia message ya asante, alinijibu asante na karibu. Nilivyorudi nilimfahamisha nimerudi basi. Hajawahi kunisimulia habari ya girl friend, wala hajanitongoza ni mwaka wa nne huu.
Simuelewi huyu rafiki yangu nisaidieni ndugu zangu.
Kwa ushauri wangu,nakuomba ufanye maombi sana Kanisani,sababu inaonekana hujui ni kitu gani unataka katika maisha yako,na pia inaonesha wewe ni mwanamke mwenye mvuto isipokuwa ushamba au mtimanyongo unakusumbua.
 
Ninaogopa nikimueleza inaweza kuvunja urafiki wetu, jamaa ni mlokole, pili si elewi kama ndiye yeye niliyeletewa jamani mwaka wa nne huu sijui tunaelekea wapi. Pia hua ananipikia chakula nikiwa nimechoka, analeta kwenye hot pot.
Mpaka anakupikia na wewe uko kimya?,mwambie nataka uje nikumeze kule chini.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Habari za kutwa waungwana,
Nina rafiki tumefahamiana miaka minne iliyopita, kufahamiana kwetu tulikutana kwenye sherehe na tulikaa viti vya karibu na tuliongea na kucheza mziki pamoja. Wakati sherehe ikiendelea nilianza kufikiria usafiri wa kunirudisha nyumbani, nilianza kumuuliza jinsi nitakavyopata tax, aliniuliza kuelelekea wapi? Hapo ndipo niligundua ni jirani yangu kabisa. Tulichukua tax moja, na baada ya pale tulibadilishana namba za simu.
Kesho yake alinipigia simu, alinialika niende kanisani kwao, nililipenda lile kanisa, niliendelea kusali pale kwa muda. Nilikuja kufahamu huyu kaka ni mlokole wa kufa mtu, mara nyingi ananipigia simu tunachat, mazungumzo mengi ni current affairs, dini, na mara nyingine ananipa offer za dinner.
Kuna wakati nilimwambia nitakwenda nyumbani kuwaona wazazi, aliniambia nisiondoke bila kumuaga, siku ninaondoka alikuja na bahasha nzito. Niliifungua nikiwa njiani, aliniwekea mpunga wakueleweka. Nilimtumia message ya asante, alinijibu asante na karibu. Nilivyorudi nilimfahamisha nimerudi basi. Hajawahi kunisimulia habari ya girl friend, wala hajanitongoza ni mwaka wa nne huu.
Simuelewi huyu rafiki yangu nisaidieni ndugu zangu.
Unampenda huyo kaka?
 
Back
Top Bottom