Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,638
- 220,410
- Thread starter
- #281
Inawezekana hilo la 5, kwasababu hata kanisani mara nyingine ninakwenda kwasababu ya company yake pia gari analoendesha ni zuri sana.Mpaka hapo pia na wewe yaonesha unampenda. Ni hivi, kuna mambo kadhaa ya kutafiti zaidi:-
1. Yaweza kuwa ni domo zege kama Waswahili wanavyosema,
2. Ana tatizo la kimaumbile yaani dushe ni dogo au halisimami hivyo he feels inferior to you.
3. Yaweza kuwa wewe mwenyewe ni tatizo (jicheki mwenendo)
4. Bado haja accomplish aliyopanga kufanya kimaisha
5. Wewe pia huja connect to his spiritual way (I mean Godly one)
6. Na vitu kama hivyo