Simwelewi rafiki yangu anataka nini kwangu

Ninaogopa nikimueleza inaweza kuvunja urafiki wetu, jamaa ni mlokole, pili si elewi kama ndiye yeye niliyeletewa jamani mwaka wa nne huu sijui tunaelekea wapi. Pia hua ananipikia chakula nikiwa nimechoka, analeta kwenye hot pot.
Aisee
 
All you need to do is to tell him that you love him and he is the one! Tell him the truth! Just tell him! Simple!
What will happen after is none of ur business! Mwachie Mungu! Do it today ! Tomorrow might be too late!
 
tumesha kaa hivyo, tunakula, tunawatch news, tuanongea tunasali na mwisho anaaga na kwenda kwake.
Mmmmmh usije kuta ana mapungufu ya kimaumbile. Moyo nataka lakini kibamia nakataa. Anzisha story kwa jina la bwana kuwa mume utakaempata hata awe na mapungufu gani utampenda kwa dhati, hiyo itampa ujasiri wa kufunguka. Angalizo tu, omba Mungu iwe ni kibamia na si hogo la jang'ombe maana hapo utaisoma namba ukijumlisha na fidia atakayoitaka ya vihot pot, dinners na kibahasha cha safari alichokupa, so help u God.....................
 
Habari za kutwa waungwana,

Nina rafiki tumefahamiana miaka minne iliyopita, kufahamiana kwetu tulikutana kwenye sherehe na tulikaa viti vya karibu na tuliongea na kucheza mziki pamoja. Wakati sherehe ikiendelea nilianza kufikiria usafiri wa kunirudisha nyumbani, nilianza kumuuliza jinsi nitakavyopata tax, aliniuliza kuelelekea wapi? Hapo ndipo niligundua ni jirani yangu kabisa.

Tulichukua tax moja, na baada ya pale tulibadilishana namba za simu.
Kesho yake alinipigia simu, alinialika niende kanisani kwao, nililipenda lile kanisa, niliendelea kusali pale kwa muda. Nilikuja kufahamu huyu kaka ni mlokole wa kufa mtu, mara nyingi ananipigia simu tunachat, mazungumzo mengi ni current affairs, dini, na mara nyingine ananipa offer za dinner.

Kuna wakati nilimwambia nitakwenda nyumbani kuwaona wazazi, aliniambia nisiondoke bila kumuaga, siku ninaondoka alikuja na bahasha nzito. Niliifungua nikiwa njiani, aliniwekea mpunga wakueleweka. Nilimtumia message ya asante, alinijibu asante na karibu. Nilivyorudi nilimfahamisha nimerudi basi. Hajawahi kunisimulia habari ya girl friend, wala hajanitongoza ni mwaka wa nne huu.

Simuelewi huyu rafiki yangu nisaidieni ndugu zangu.
Hapo kuna jambo hutaki kuliweka wazi,
inawezekana ww kuna vidalili vya kuwa na boyfrnd na ndo mana yeye anaendelea kukuchukulia km rafiki,ila kama kusingekuwa na hizo dalili nadhani zamaaani ungeshaliwa naye mzigo,hakunaga ulokole sana kwenye mambo hayo!!!
 
Habari za kutwa waungwana,

Nina rafiki tumefahamiana miaka minne iliyopita, kufahamiana kwetu tulikutana kwenye sherehe na tulikaa viti vya karibu na tuliongea na kucheza mziki pamoja. Wakati sherehe ikiendelea nilianza kufikiria usafiri wa kunirudisha nyumbani, nilianza kumuuliza jinsi nitakavyopata tax, aliniuliza kuelelekea wapi? Hapo ndipo niligundua ni jirani yangu kabisa.

Tulichukua tax moja, na baada ya pale tulibadilishana namba za simu.
Kesho yake alinipigia simu, alinialika niende kanisani kwao, nililipenda lile kanisa, niliendelea kusali pale kwa muda. Nilikuja kufahamu huyu kaka ni mlokole wa kufa mtu, mara nyingi ananipigia simu tunachat, mazungumzo mengi ni current affairs, dini, na mara nyingine ananipa offer za dinner.

Kuna wakati nilimwambia nitakwenda nyumbani kuwaona wazazi, aliniambia nisiondoke bila kumuaga, siku ninaondoka alikuja na bahasha nzito. Niliifungua nikiwa njiani, aliniwekea mpunga wakueleweka. Nilimtumia message ya asante, alinijibu asante na karibu. Nilivyorudi nilimfahamisha nimerudi basi. Hajawahi kunisimulia habari ya girl friend, wala hajanitongoza ni mwaka wa nne huu.

Simuelewi huyu rafiki yangu nisaidieni ndugu zangu.
Domo zege
 
Ninaogopa nikimueleza inaweza kuvunja urafiki wetu, jamaa ni mlokole, pili si elewi kama ndiye yeye niliyeletewa jamani mwaka wa nne huu sijui tunaelekea wapi. Pia hua ananipikia chakula nikiwa nimechoka, analeta kwenye hot pot.
Mhh jamaa linapika mpaka na msosi
 
Wanawake wengine mnatafuta laana ya Mungu. Yaani mwaka wa NNE hujiongezi na unajua kabisa mwenzio ana kilema cha ULOKOLE... Vibaya hivyo dada, msaidie kijana mwenzio!
 
Ninaogopa nikimueleza inaweza kuvunja urafiki wetu, jamaa ni mlokole, pili si elewi kama ndiye yeye niliyeletewa jamani mwaka wa nne huu sijui tunaelekea wapi. Pia hua ananipikia chakula nikiwa nimechoka, analeta kwenye hot pot.
Du wewe uko single?
 
Kipi usichomuelewa huku mwenzako anakukubali tu jns ulivyo kama anakutaka asingekausha miaka 4 hiyo
 
stori nzur
Habari za kutwa waungwana,

Nina rafiki tumefahamiana miaka minne iliyopita, kufahamiana kwetu tulikutana kwenye sherehe na tulikaa viti vya karibu na tuliongea na kucheza mziki pamoja. Wakati sherehe ikiendelea nilianza kufikiria usafiri wa kunirudisha nyumbani, nilianza kumuuliza jinsi nitakavyopata tax, aliniuliza kuelelekea wapi? Hapo ndipo niligundua ni jirani yangu kabisa.

Tulichukua tax moja, na baada ya pale tulibadilishana namba za simu.
Kesho yake alinipigia simu, alinialika niende kanisani kwao, nililipenda lile kanisa, niliendelea kusali pale kwa muda. Nilikuja kufahamu huyu kaka ni mlokole wa kufa mtu, mara nyingi ananipigia simu tunachat, mazungumzo mengi ni current affairs, dini, na mara nyingine ananipa offer za dinner.

Kuna wakati nilimwambia nitakwenda nyumbani kuwaona wazazi, aliniambia nisiondoke bila kumuaga, siku ninaondoka alikuja na bahasha nzito. Niliifungua nikiwa njiani, aliniwekea mpunga wakueleweka. Nilimtumia message ya asante, alinijibu asante na karibu. Nilivyorudi nilimfahamisha nimerudi basi. Hajawahi kunisimulia habari ya girl friend, wala hajanitongoza ni mwaka wa nne huu.

Simuelewi huyu rafiki yangu nisaidieni ndugu zangu.
kwa iyo umemsubiri miaka yote minne dry? au kuna sehemu unapozea huku ukisubiri kauli yake?
 
Well, kusema ukweli hata lile kanisa nililipenda kwajili yake, lakini sioni maendeleo.
Kumbe unampenda dada mwambie ukwel tuu, sasa hivi c mnasema haki sawa usione aibu mueleze ukwel
 
kuna mambo kama3 hivi
1)anaweza kuwa domo zege hawezi kuexpress hisia zake kwako au anakuonea aibu kukwambia km anakupenda
2)tatizo la kumaumbile.jongoo hapandi mtungi kwa anataka uendelee kuwa shoga ake.
3)Anakuonye symbal lkn unajifanya unamkazia hivyo nae anaogopa kumalizia kona.
jaribu kumtega nenda hom kwake kama anaishi alone ukiwa umevaa kihasara alf mpige stori hadi usiku wa manane alf jifanye umelala .mbinu hii n nzuri km anaishi single
 
Back
Top Bottom