Mkuu nawe emevutiwa kama jimbo lipo wazi tia niaHabari za kutwa waungwana,
Nina rafiki tumefahamiana miaka minne iliyopita, kufahamiana kwetu tulikutana kwenye sherehe na tulikaa viti vya karibu na tuliongea na kucheza mziki pamoja. Wakati sherehe ikiendelea nilianza kufikiria usafiri wa kunirudisha nyumbani, nilianza kumuuliza jinsi nitakavyopata tax, aliniuliza kuelelekea wapi? Hapo ndipo niligundua ni jirani yangu kabisa.
Tulichukua tax moja, na baada ya pale tulibadilishana namba za simu.
Kesho yake alinipigia simu, alinialika niende kanisani kwao, nililipenda lile kanisa, niliendelea kusali pale kwa muda. Nilikuja kufahamu huyu kaka ni mlokole wa kufa mtu, mara nyingi ananipigia simu tunachat, mazungumzo mengi ni current affairs, dini, na mara nyingine ananipa offer za dinner.
Kuna wakati nilimwambia nitakwenda nyumbani kuwaona wazazi, aliniambia nisiondoke bila kumuaga, siku ninaondoka alikuja na bahasha nzito. Niliifungua nikiwa njiani, aliniwekea mpunga wakueleweka. Nilimtumia message ya asante, alinijibu asante na karibu. Nilivyorudi nilimfahamisha nimerudi basi. Hajawahi kunisimulia habari ya girl friend, wala hajanitongoza ni mwaka wa nne huu.
Simuelewi huyu rafiki yangu nisaidieni ndugu zangu.
Umepata mume..jitahidi.mutoke.toke.umuelewe naye akueleweInawezekana, lakini anaiomba tutoke kwa chakula kwenye hoteli nzuri, sasa kama sina mvuto mbona haoni haya kwenda na mimi in public places, pia tunakwenda wote kanisani J2.
Inafanya banaWallah huyo jamaa inawezekana the Duduziii aifanyi kazi.
Umejuaje?Inafanya bana
He hee umeanza uchokonozi sasa. Ebu mwambie Sky niko tayari kujitolea kumrahisishia hii kazi akiniunganisha na jamaaUmejuaje?
patamNi pale kati ati...
nimegundua kituUtumbo ndio huhu sasa nikikupa na wewe na mimi nile nini mkuu?
mbona unaulizia sana hela!!!Amekupa bahasha yenye hela mara ngapi?
Exactly, yani haya mambo bana hata hayaeleweki. Kuna wanawake pia mnaweza mkawa marafiki mno, akakujali mno hadi nafsi ikagusika. Siku mkaka akiamua kufunguka ndo na urafiki unafwariki. Utasikia zile "nilimuheshimu kama kaka yangu ila kanitongoza", so kanivunjia heshima teh. Moyo wa mtu kichakaUnaweza ukute anakujali tu kama rafiki, hii kitu ishawahi kunitokea nami nilihisi tofauti kumbe walaaaa! So kuwa huru.
Ila ni kama umeshajenga hisia kwake so unatamani afunguke!!
Niko sensitive nayombona unaulizia sana hela!!!
Ni kweli doughter, haya mambo hata hayaelewekagi.Exactly, yani haya mambo bana hata hayaeleweki. Kuna wanawake pia mnaweza mkawa marafiki mno, akakujali mno hadi nafsi ikagusika. Siku mkaka akiamua kufunguka ndo na urafiki unafwariki. Utasikia zile "nilimuheshimu kama kaka yangu ila kanitongoza", so kanivunjia heshima teh. Moyo wa mtu kichaka
Aaah we noma, mifupa ilosinda fisi wewe nawesa yote.He hee umeanza uchokonozi sasa. Ebu mwambie Sky niko tayari kujitolea kumrahisishia hii kazi akiniunganisha na jamaa
Hebu mwambie bana nianze kazi fastaAaah we noma, mifupa ilosinda fisi wewe nawesa yote.