Simwelewi rafiki yangu anataka nini kwangu

Simwelewi rafiki yangu anataka nini kwangu

Tendo la ndoa bila ndoa ni zinaa / uzinzi
Ni tamko lako kuwa tendo la ndoa ni zinaa/ uzinzi? Huwa siamini katika vitu hivyo Mkuu maana naona kama ni uongo tu uliotengenezwa na watu wachache kwa manufaa yao binafsi.
 
Ningeelewa kama ingekuwa company tu, sasa na mambo ya kuniwekea pesa kwenye bahasha nayo ni company?
pesa imeandikwa "PESA HALALI KWA MALIPO YA SH 10000". We unapopokea pesa hujishtukii? kama una hela ya noti hapo soma pana maelezo, pesa sio ya kupokea pokea tu kama hulipwi
 
Ni tamko lako kuwa tendo la ndoa ni zinaa/ uzinzi? Huwa siamini katika vitu hivyo Mkuu maana naona kama ni uongo tu uliotengenezwa na watu wachache kwa manufaa yao binafsi.
Narudia tena ulicho quoted tendo la ndoa bila ndoa ni zinaa na pia ni uzinzi . Chochote ambacho hamkipendezeshi Mungu ni uovu . Kama huamini ni wewe ila mimi ninaamini maandiko aloyesema Mungu katika kitabu kitakatifu Biblia
 
Narudia tena ulicho quoted tendo la ndoa bila ndoa ni zinaa na pia ni uzinzi . Chochote ambacho hamkipendezeshi Mungu ni uovu . Kama huamini ni wewe ila mimi ninaamini maandiko aloyesema Mungu katika kitabu kitakatifu Biblia
Okay..kumbe kulingana na unavyoambiwa na MUNGU wako. Hapo nimekuelewa hakuna shaka hata kidogo ingawa na Mimi siamini kama ni uzinzi wala zinaa Bali ni kustarehesha mwili tu.
 
Mwambie unampenda na kumhitaji awe mwenzi wako. Kila mtu ana haki ya kupenda, usiogope kusema nae. Inferiority complex will make you loose what you seems to love
 
Habari za kutwa waungwana,

Nina rafiki tumefahamiana miaka minne iliyopita, kufahamiana kwetu tulikutana kwenye sherehe na tulikaa viti vya karibu na tuliongea na kucheza mziki pamoja. Wakati sherehe ikiendelea nilianza kufikiria usafiri wa kunirudisha nyumbani, nilianza kumuuliza jinsi nitakavyopata tax, aliniuliza kuelelekea wapi? Hapo ndipo niligundua ni jirani yangu kabisa.

Tulichukua tax moja, na baada ya pale tulibadilishana namba za simu.
Kesho yake alinipigia simu, alinialika niende kanisani kwao, nililipenda lile kanisa, niliendelea kusali pale kwa muda. Nilikuja kufahamu huyu kaka ni mlokole wa kufa mtu, mara nyingi ananipigia simu tunachat, mazungumzo mengi ni current affairs, dini, na mara nyingine ananipa offer za dinner.

Kuna wakati nilimwambia nitakwenda nyumbani kuwaona wazazi, aliniambia nisiondoke bila kumuaga, siku ninaondoka alikuja na bahasha nzito. Niliifungua nikiwa njiani, aliniwekea mpunga wakueleweka. Nilimtumia message ya asante, alinijibu asante na karibu. Nilivyorudi nilimfahamisha nimerudi basi. Hajawahi kunisimulia habari ya girl friend, wala hajanitongoza ni mwaka wa nne huu.

Simuelewi huyu rafiki yangu nisaidieni ndugu zangu.

Ulitaka akutongoze???? Unawaza kumpa mwili wako sio???? He is just one of your good friends indeed....!!!? Au ulitakaje dear Sky Eclat..... Funguka kiduchu....
 
Mwambie unaogopa kulala peke yako kuna mende ameingia ndan kwako ili aje malale wote...
 
Nimegundua kumbe ni kweli hakuna urafiki wa kawida kati ya mwanamke na mwanaume ye amekuchukulia kama rafiki wa kawaida we unatakaje sasa
 
[quote uid=59676 name="Nyanya mbichi" post=17089807]si best friend tu au unahis jamaa domo zege?[/QUOTE]<br />[quote uid=296113 name="vevenononombo" post=17089816]Sema wazi unataka mambo mwambie tu kuwa unataka mtekenyo jamaa anakusikilizia weww[/QUOTE]<br />Ninaogopa nikimueleza inaweza kuvunja urafiki wetu, jamaa ni mlokole, pili si elewi kama ndiye yeye niliyeletewa jamani mwaka wa nne huu sijui tunaelekea wapi. Pia hua ananipikia chakula nikiwa nimechoka, analeta kwenye hot pot.

Da! Funguka tu mwambie km umempenda ataelewa
 
usimuangushe kaka wa watu ni mpendwa huyo, we vuta subira atakuambia tu mkafahamiane(joking) ataleta posa kwenu ila hana uhakika na upendo wako kwake
 
dah! Binadamu wauaji jamani, sasa unataka lazimisha mlokole agegede. teh teh teh!

Ebu vumilia uombe Mungu tu wa kwako usikute ndo anakula bata atakuja baadae,

Hata ivyo, kuna wengine hawasemagi mpaka wanafariki. Na pia tumia zile njia za kike zile utajua tu lengo lake.
 
Ninaogopa nikimueleza inaweza kuvunja urafiki wetu, jamaa ni mlokole, pili si elewi kama ndiye yeye niliyeletewa jamani mwaka wa nne huu sijui tunaelekea wapi. Pia hua ananipikia chakula nikiwa nimechoka, analeta kwenye hot pot.
Mwanaume anakupikia chakula???What a wonderful friend!!!
 
Back
Top Bottom