Simwelewi rafiki yangu anataka nini kwangu

Simwelewi rafiki yangu anataka nini kwangu

Sio kila mwanaume anae kujali anakuwa anakutaka kimapenzi, wengine wanataka urafiki na si kingine
 
Ninaogopa nikimueleza inaweza kuvunja urafiki wetu, jamaa ni mlokole, pili si elewi kama ndiye yeye niliyeletewa jamani mwaka wa nne huu sijui tunaelekea wapi. Pia hua ananipikia chakula nikiwa nimechoka, analeta kwenye hot pot.
Trust me, nilikuwa nakupigia mahesabu wewe; yaani nilikuwa nakufuatilia nyuma nyuma bila wewe mwenyewe kujua while waiting for the right time! Lakini ikiwa jamaa amefikia hadi mahaba ya kukuletea msosi kwenye hotpot; hapana aisee, mahaba hayo siwezi kuyafikia!! Hadi kukuletea msosi kwenye hotpot?! Nimeshindwa mimi and thank you for this useful thread!
 
Nimegundua kitu hapa.
Kwanza mnapendana saana.
Pili mnajaliana saana zaidi ya ambao tayari wapo katika relationship.
Tatizo linakuja mlishajijengea maisha kuishi maisha ya urafiki uliopitiliza (tofauti tu hamfanyi mapenzi) kwa iyo wewe na mlokole kila mtu anamlia timing mwenzake na kila mmoja anajiuliza hivi tupo kwenye love au Hatupo. Na kila mmoja kumuanza mwenzake ni sheeda.
Hii huwa inatokea sema hiyo duration yenu . Mnakua rafiki na ke baada ya muda unampenda gafla unaanza kumjali then na yeye anajikuta kakupenda gafla . (blind lovers) ishu itakuja nani wa kuchokoza! Ukiona hivyo inabidi kujitoa ufahamu tu kwa only 5min coz haihitaji nguvu tumia sms kama unaona aibu coz na yeye anakufeel haichukui muda.


Ilishanitokea kwa 2 years. Sio udomo zege asee.
 
Mkitongozwa mnalalama msipotongozwa pia maneno,mna nini nyinyi viumbe wenye XX chromosomes?
 
Akili ya kungonoka ndo uliyo nayo wewe... Usikute mwenzio hajawahi kuwaza chochote zaidi ya urafiki wenu, sasa wewe unataka kumpoteza njia.... Unataka kila atayekusaidia umzawadie kutumbua? Ngoja nami nikuandalie bahasha, kumbe uko simple kiasi hicho..!
 
Mtu unakaa naye mtaa mmoja, yupo single na wewe single, halafu unashindwa kumkamata kwa miaka minne...! Nawaza tu ungempenda Magufuli ungempataje?
 
Akili ya kungonoka ndo uliyo nayo wewe... Usikute mwenzio hajawahi kuwaza chochote zaidi ya urafiki wenu, sasa wewe unataka kumpoteza njia.... Unataka kila atayekusaidia umzawadie kutumbua? Ngoja nami nikuandalie bahasha, kumbe uko simple kiasi hicho..!
Bahasha siyo kwa sana, ufundi wako kwenye hotpot ndio nitamind.
 
Sky Éclat Ushamkaribisha kwako unapoishi? Makribishe na mwekee mazingira ya kuduu, uone kama suruali yake haitainuka pale mahali Fulani.

Mwanamke wa aina gani wewe unashindwa kuweka mazingira mwanamme ajae vizuri kwako. Hapo Ngamia kaelekea KIBLA kazi kwako.
 
kuna urafiki tuu kweni wewe uwezi kumsaidia rafiki yako...? ila kama unampenda mtege akijaa mpe sehemu ya kati...ila usisahau kutumia kinga marazi mengi siku hizi
 
Sky Éclat Ushamkaribisha kwako unapoishi? Makribishe na mwekee mazingira ya kuduu, uone kama suruali yake haitainuka pale mahali Fulani.

Mwanamke wa aina gani wewe unashindwa kuweka mazingira mwanamme ajae vizuri kwako. Hapo Ngamia kaelekea KIBLA kazi kwako.
Kwangu anakuja sana ila hilo limeshindikana, kwakweli kama nilivyosema mwanzo, tunakula, kuongea kusali na kuagana.
 
Habari za kutwa waungwana,

Nina rafiki tumefahamiana miaka minne iliyopita, kufahamiana kwetu tulikutana kwenye sherehe na tulikaa viti vya karibu na tuliongea na kucheza mziki pamoja. Wakati sherehe ikiendelea nilianza kufikiria usafiri wa kunirudisha nyumbani, nilianza kumuuliza jinsi nitakavyopata tax, aliniuliza kuelelekea wapi? Hapo ndipo niligundua ni jirani yangu kabisa.

Tulichukua tax moja, na baada ya pale tulibadilishana namba za simu.
Kesho yake alinipigia simu, alinialika niende kanisani kwao, nililipenda lile kanisa, niliendelea kusali pale kwa muda. Nilikuja kufahamu huyu kaka ni mlokole wa kufa mtu, mara nyingi ananipigia simu tunachat, mazungumzo mengi ni current affairs, dini, na mara nyingine ananipa offer za dinner.

Kuna wakati nilimwambia nitakwenda nyumbani kuwaona wazazi, aliniambia nisiondoke bila kumuaga, siku ninaondoka alikuja na bahasha nzito. Niliifungua nikiwa njiani, aliniwekea mpunga wakueleweka. Nilimtumia message ya asante, alinijibu asante na karibu. Nilivyorudi nilimfahamisha nimerudi basi. Hajawahi kunisimulia habari ya girl friend, wala hajanitongoza ni mwaka wa nne huu.

Simuelewi huyu rafiki yangu nisaidieni ndugu zangu.
"ukweli utakuweka huru" Miaka 4 ni mingi get to know the fate of your friendship na feeling alizo nazo kuhusu wewe.
Kama hajawahi kukutamkia mambo ya mapenzi miaka yote hiyo na kwamba anasubiria mpaka aje kuoa. Then he is a good gay that can be trusted IKITOKEA MMEOANA
 
Unaishi wap nije tujadiliane na nikupe mbinu jinc ya kufnya
 
Mhhh ninashaka humu ndani kuna watu mnatumia Avata wakati jinsia si yako, haiwezekani kwa mwanamke au mwanamme alie timamu kushindwa kufanya jambo dogo kama hilo.
Au mtembelee kwake kaa mpaka mida mibaya halafu mwaombe maji ya kuoga na mwambie unalala hapohapo kwake coz usiku umeingia. Na ni hatari kwako kwnda kwake na yeye pia hata akikusindikiza Sky Éclat
 
Back
Top Bottom