Simwelewi rafiki yangu anataka nini kwangu

Ninaogopa nikimueleza inaweza kuvunja urafiki wetu, jamaa ni mlokole, pili si elewi kama ndiye yeye niliyeletewa jamani mwaka wa nne huu sijui tunaelekea wapi. Pia hua ananipikia chakula nikiwa nimechoka, analeta kwenye hot pot.

siku nyingine akikuletea mkaribishe mle pamoja katika kupiga story utamwelewa
 
Ninaogopa nikimueleza inaweza kuvunja urafiki wetu, jamaa ni mlokole, pili si elewi kama ndiye yeye niliyeletewa jamani mwaka wa nne huu sijui tunaelekea wapi. Pia hua ananipikia chakula nikiwa nimechoka, analeta kwenye hot pot.
Tumia huo muda nawe kumfahamu vema na jiengage kumwonyesha kuwa wewe ni wa muhimu kwake automatically mambo yatanyooka tu.
 
Ninaogopa nikimueleza inaweza kuvunja urafiki wetu, jamaa ni mlokole, pili si elewi kama ndiye yeye niliyeletewa jamani mwaka wa nne huu sijui tunaelekea wapi. Pia hua ananipikia chakula nikiwa nimechoka, analeta kwenye hot pot.
Hahaaa jiongeze mtoto wa kike, kwani unashindwa kusema hivi kwann tisinge ishi pamoja?
 
mtunuku tu zawadi ya ushindi mayb anashindwa kuomba, by the way katika hiyo miaka minne hakuna jamaa mwingine anayekugegeda?
 
Ninaogopa nikimueleza inaweza kuvunja urafiki wetu, jamaa ni mlokole, pili si elewi kama ndiye yeye niliyeletewa jamani mwaka wa nne huu sijui tunaelekea wapi. Pia hua ananipikia chakula nikiwa nimechoka, analeta kwenye hot pot.

Mfungukie mkuu,
Inaonekana wewe uko tayari kwake, nayeye yawezekana yuko hivyo hivyo,
Sema mnaogopana.

Sasa fanya hivi:
Tafutasiku nzuri sana sana weekend, andaa dinner fresh, pamoja na vinjwaji baridi.
Mualike kwa dinner hapo kwako, mkimaliza kula mwambie umeota ndoto unataka umsimulie.

Sasa naongea kama wewe

"" Unajua J, Nimeota ndoto hata sijui inamaanisha nini,
Nimeota mimi na wewe tukiwa kanisani tunafunga ndoa,
Tena katufungisha yule mchungaji wa kanisani kwako,
Baada ya kanisani tukaenda ukumbini, na baadae Logde Kulala,
Wakati tumevua nguo unataka kunigusa tu, ndoto ikakatika, nikashtuka usingizini huku jasho likinitoka,
Yaani nimeudhika ndoto kukatika, maana imekatika ndo tunataka peana utamu.""

Alafu funga macho jifanye una aibu,,,,,,
Huku ukimuibiaibia kumuangalia machoni kwake.

Then msikilizie ataongea nini,
Akichomoka hapo jua huyo si halali yako
 
lin, nawe wataka bf ambaye hatangazi ndoa wala kuomba mchezo? Huoni huyo atakupa headache? I like a direct approach when it comes to urafiki bwana!!

hahahaha kila kitu kina faida na hasara yake
 
Okay.

Ila najua wewe ni mzoefu sana wa mambo ya kwichikwichi so siku moja mchukue au hata kesho mpeleke kwako au Lodge anza kumfanyia utundu ili uone kama jogoo yupo active au useless ili usipotezee muda wako kuwa na mtu ambaye huenda mashine haifanyi kazi.

Jitahidi ufanye hilo jaribio mkimaliza mwambie shetani kakupitia mpaka umefanya hivyo.
Uovu huu
 
Mfungukie mkuu,
Inaonekana wewe uko tayari kwake, nayeye yawezekana yuko hivyo hivyo,
Sema mnaogopana.

Sasa fanya hivi:
Tafutasiku nzuri sana sana weekend, andaa dinner fresh, pamoja na vinjwaji baridi.
Mualike kwa dinner hapo kwako, mkimaliza kula mwambie umeota ndoto unataka umsimulie.

Sasa naongea kama wewe

"" Unajua J, Nimeota ndoto hata sijui inamaanisha nini,
Nimeota mimi na wewe tukiwa kanisani tunafunga ndoa,
Tena katufungisha yule mchungaji wa kanisani kwako,
Baada ya kanisani tukaenda ukumbini, na baadae Logde Kulala,
Wakati tumevua nguo unataka kunigusa tu, ndoto ikakatika, nikashtuka usingizini huku jasho likinitoka,
Yaani nimeudhika ndoto kukatika, maana imekatika ndo tunataka peana utamu.""

Alafu funga macho jifanye una aibu,,,,,,
Huku ukimuibiaibia kumuangalia machoni kwake.

Then msikilizie ataongea nini,
Akichomoka hapo jua huyo si halali yako
Mmhmm.. Hii ni kali. kwa nini amzunishe Roho Mtakatifu? Maana jamaa anaweza kuamini imetoka kwa Mungu kumbe ni Fleshy. Uovu huu. Asugue goti mwenyewe na kufunga tuu bi Dada hakuna jinsi. Na yote atafunuliwa
 
Rafiki kama huyu Mimi ndio nimtakae maana angenifanya nifunge na kuomba zaidi ili Mungu anifunulie nia zake kwangu . Sugua goti bi dada na kufunga uwe serious upate majibu haraka bila kupoteza muda . Usidanganyike na Fleshy
 
Uovu mbele ya utamu? Tamu tamu ile ni Nouma sana mkuu yani hapa penyewe natamani hiyo bahati ingeniangukia mkuu. Kweli "UPELE HUMUOTA ASIYE NA KUCHA"

Kugegedana sio uovu hata kidogo bali ni matumizi sahihi ya vitu walivyozawadiwa na wazazi wao.
 
Bila ndoa ni uovu tuu acha kujipa moyo
 
Huo mpunga na misosi kwenye hotpot iko siku utaulipa, dunia hii hakuna kitu cha bure kila mtu kwa chochote anachokifanya anakifanya kwa malengo
 
kuna urafiki tuu kweni wewe uwezi kumsaidia rafiki yako...? ila kama unampenda mtege akijaa mpe sehemu ya kati...ila usisahau kutumia kinga marazi mengi siku hizi
Ninachowaza Mimi huyu Dada hakuwahi kukutana au kuwa na MTU iwe rafiki au mpenzi kama huyu kaka hivyo inammfanya ashangae na kuwaza mengine
 
Back
Top Bottom