JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,816
Wapumbavu kama wewe ni tatizo kubwa sana Tanzania. You’re all suffering from Acqured Stupidity eti alileta mageuzi ya kiuchumi!!!! Kwa kufanya lipi!? Na mageuzi hayo ya kiuchumi yaliinuaje uchumi wa nchi na wa Tanzania na kuboresha maisha yao? Pato la Taifa liliongezeka? Kwa kiasi gani? Pato la Mtanzania liliongezeka kwa kiasi gani? Hakuna hizo data za kusupport uongo wake wa kuleta mageuzi ya kiuchumi.
Acha mbio mbio kama vile tupo vitani tunashindana majibu.
Majibu yako tu inaonekana hata hujaelewa nilichoandika ila unapenda vita vya maneno visivyo na maana.
Nimesapoti ulichosema kwa kuponda kutumia uhuru wa RUKSA ya biashara vibaya. Uhuru ulitolewa kwa raia wote. Raia wanastahili lawama kwa upumbavu wa kutumia uhuru vibaya. Wakati wa JK pia kulikuwa na uhuru wa maoni akaitwa dhaifu.