HallelujahImani.!! Imani.!! Imani.!! Hakika Mungu ni mmoja tu.!! Hongera sana mpendwa Shunie.! Hadithi zako zinajenga na kufundisha kwamba Hakuna aliye Daktari BINGWA kama MUNGU wetu aliye juu Mbingu.!! Imani yetu ya kumwani yeye ndiyo tiba pekee. Haijarishi muda utakuwa ni mrefu au mfupi bali ni kuamini tu.!!
Sawa MkweAsante mkwe [emoji120][emoji120]fatilia hiyo mpya nyingine
Nzuriiii sanaaa. Nimeipenda.SEHEMU YA 108
Kitu cha kwanza kabisa kufanya kazi kilikuwa ni vidole vyake vya miguu, vilianza kuchezacheza. Alishtuka, hakuamini, akamuita dada wa kazi na kumwambia ampigie simu Dickson.
“Mwambie vidole viecheza,” alisema huku akionekana kutokuamini.
“Unasemaje dada? Vidole vimecheza?” aliuliza dada wa kazi huku akionekana kutokuamini.
“Ndiyo! Mpigie simu kumwambia aje,” alisema Nandy.
Hayo yalikuwa ni mabadiliko ya mwanzo, yakaendelea kutokea zaidi na zaidi, baada ya wiki mbili, Mungu akazidi kufanya miujiza mwilini mwake, akaendelea kuonyesha nguvu zake kwa kupitia imani ambayo alijiwekea msichana huyo.
Kuanzia kiunoni kushuka chini kukaanza kufanya kazi, ilikuwa ni furaha tele kwa msichana huyo. Pale kitandani alipokuwa alikuwa akimuimbia Mungu matendo makuu aliyokuwa akiyafanya mwilini mwake.
Alitamani kuinuka na kurukaruka, kwa kilichokuwa kikiendelea mwilini mwake hakuamini na baada ya miezi miwili, Nandy akapona kabisa.
Kilichokuwa kimemponya hakikuwa uwezo wa madaktari, kilichomponya hakikuwa ujanja wake wala kitu chochote zaidi ya imani yake na nguvu ya msamaha aliyokuwanayo moyoni mwake.
“Nitayazungumzia matendo ya Mungu maishani mwangu,” alisema Nandy huku akiwa amesimama mbele ya kanisa, alishika kinasa sauti huku machozi yakimbubujika.
Alikonda sana, hakujali, kitu pekee alichokuwanacho kichwani mwake ni kwamba aliponywa ugonjwa uliokuwa ukimsumbua kwa miaka mingi.
Mume wake alikuwa pembeni yake, kila alipomwangalia, alimuona mwanaume shujaa aliyekuwa tayari kufanya lolote lile kwa ajili yake.
Hapohapo kanisani, akamsogelea na kumkumbatia, akaliambia kanisa kwamba miongoni mwa watu waliopata bahati ya kuwa na mume jasiri, aliyejua kupenda, alikuwa yeye.
“Ni imani ndiyo iliyoniponya,” alisema kila alipokuwa akiulizwa. Hakuacha kulia kwa furaha, kila alipokuwa akiyakumbuka matendo makuu ya Mungu, alibaki akimsifu tu.
MWISHO.
Nashukuru sana kwa kuifuatilia hadithi hii ambayo naamini imewafundisha mambo mengi tu. Kwa yale mazuri, yachukueni ila kwa yale mabaya naomba muyaache. Ahsanteni sana kwa kunifuatilia. Love you all.
Ahsante luv ila ndo hivyo mwenzio ugonjwa wangu hadi leo bado haujapona hakuna cha notification wala niniAmeen lovie [emoji120] barikiwa na wewe
kote uku nakutafuta wewe tu mama mkweBamkwe mpaka huku
Safi sana...SEHEMU YA 108
Kitu cha kwanza kabisa kufanya kazi kilikuwa ni vidole vyake vya miguu, vilianza kuchezacheza. Alishtuka, hakuamini, akamuita dada wa kazi na kumwambia ampigie simu Dickson.
“Mwambie vidole viecheza,” alisema huku akionekana kutokuamini.
“Unasemaje dada? Vidole vimecheza?” aliuliza dada wa kazi huku akionekana kutokuamini.
“Ndiyo! Mpigie simu kumwambia aje,” alisema Nandy.
Hayo yalikuwa ni mabadiliko ya mwanzo, yakaendelea kutokea zaidi na zaidi, baada ya wiki mbili, Mungu akazidi kufanya miujiza mwilini mwake, akaendelea kuonyesha nguvu zake kwa kupitia imani ambayo alijiwekea msichana huyo.
Kuanzia kiunoni kushuka chini kukaanza kufanya kazi, ilikuwa ni furaha tele kwa msichana huyo. Pale kitandani alipokuwa alikuwa akimuimbia Mungu matendo makuu aliyokuwa akiyafanya mwilini mwake.
Alitamani kuinuka na kurukaruka, kwa kilichokuwa kikiendelea mwilini mwake hakuamini na baada ya miezi miwili, Nandy akapona kabisa.
Kilichokuwa kimemponya hakikuwa uwezo wa madaktari, kilichomponya hakikuwa ujanja wake wala kitu chochote zaidi ya imani yake na nguvu ya msamaha aliyokuwanayo moyoni mwake.
“Nitayazungumzia matendo ya Mungu maishani mwangu,” alisema Nandy huku akiwa amesimama mbele ya kanisa, alishika kinasa sauti huku machozi yakimbubujika.
Alikonda sana, hakujali, kitu pekee alichokuwanacho kichwani mwake ni kwamba aliponywa ugonjwa uliokuwa ukimsumbua kwa miaka mingi.
Mume wake alikuwa pembeni yake, kila alipomwangalia, alimuona mwanaume shujaa aliyekuwa tayari kufanya lolote lile kwa ajili yake.
Hapohapo kanisani, akamsogelea na kumkumbatia, akaliambia kanisa kwamba miongoni mwa watu waliopata bahati ya kuwa na mume jasiri, aliyejua kupenda, alikuwa yeye.
“Ni imani ndiyo iliyoniponya,” alisema kila alipokuwa akiulizwa. Hakuacha kulia kwa furaha, kila alipokuwa akiyakumbuka matendo makuu ya Mungu, alibaki akimsifu tu.
MWISHO.
Nashukuru sana kwa kuifuatilia hadithi hii ambayo naamini imewafundisha mambo mengi tu. Kwa yale mazuri, yachukueni ila kwa yale mabaya naomba muyaache. Ahsanteni sana kwa kunifuatilia. Love you all.
nyaniNyemo ndo nani? Mwandishi wa vitabu vya hadithi?
Ahahahahah tater