Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,972
- 22,931
Nipo na linda hapa
Upo na Linda?!! Ole wako
Tunakula bagia ...
Karibu ....
Nipo na linda hapa
Upo na Linda?!! Ole wako
Tunakula bagia ...
Karibu ....
Nakuona nakuona hutaki kupitwa na story, [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Muite "NANGATHU" au "NAKIVONA"
Ulimbadili jina huyo binti yako kuu?Kuna binti yangu nilimzaa WAKATI wa balehe anaitwa Linda!! Haki ya Nani naenda mbadilisha jina hata akaitwe Namshitu! Huyu Ni Linda wa nne mwenye roho mbaya namsikia