mtu mwembamba
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 370
- 474
Nakuombea mtu mwembamba Mungu akusaidie ukuje upate mahela mengi umkumbuke na shunie [emoji120][emoji7]
Usijali shuniee
Nakuombea mtu mwembamba Mungu akusaidie ukuje upate mahela mengi umkumbuke na shunie [emoji120][emoji7]
Nawaza kwa sauti HapaIna maana akina Fluffy ndio wamekufa kiukweli?
Hela ipo kuajili ya mrembo kama weweMmh mkuu hakunaga matani ya mahela ujue
Mawazo mengne yataka moyoShunie nakwahidi ukifa ntakununulia jeneza walahii kabisa
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]Mawazo mengne yataka moyo
kwl, maana mambo unatupa siyo ya nchi hii
[emoji15] [emoji15] [emoji15] ndo nini sasa kunifanya nishangaeKhaaaa kesho nawapa arosto
Mambo ni
Nipo mkuu napita kila nipatapo nafasiMkuu umekua adimu.
Mimi namsubiria mshikaji wangu JayitNamsubiri rhoda tu now ndio woman of the story in "man of the match" voice ....
Muya popote ulipo ujumbe ukufikieEbu mwambie labda akufwe yeye ajinunulie jeneza lake