mtu mwembamba
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 370
- 474
Ahsante sana shunie
Weka mpenzi inifariji muda huu nikiwa kitandan [emoji144]
Si alitapika akisema mzoga si mzoga,maiti sio maiti. Sasa ndio amerudi kwakesijui itakuwaje.Haaa haaa Rhoda ni noma kwa character yake si wa kuolewa yule na venim
haa haa ht km ndoa ikipita ni kumuingiza king tu venim ili amtumie atakavyo rhoda ni inteligencia haa haaSi alitapika akiswma mzoga si mzoga,maiti sio maiti. Sasa ndio amerudi kwakesijui itakuwaje.
Rodha sasa atakuwa mlozi na yeye..haa haa ht km ndoa ikipita ni kumuingiza king tu venim ili amtumie atakavyo rhoda ni inteligencia haa haa
Watakoma huko GosheniRodha sasa atakuwa mlozi na yeye..
Kama hakuna ngoja nijaribu mimiMkuu hakuna aliyenasa watu wanajifurahisha tu mdogo wangu ameshawahiwa
[emoji7][emoji7][emoji7]Mkuu hakuna aliyenasa watu wanajifurahisha tu mdogo wangu ameshawahiwa
Kazi unayo ndugu ynguMkuu hakuna aliyenasa watu wanajifurahisha tu mdogo wangu ameshawahiwa