upo kimara ehNakunywa heinken mie mkuu utaniona tu
ya kimaraNipo mbezi
Watu wana Shunie wao vichwani[emoji3] [emoji3] [emoji3]Mkuu yan mbingu na nchi me na sandarus shunie bongeee cheusi nikikwambia bonge ni bongeeee
sawa mpenz
Utaniua kwa kicheko yan ni hatari na nusu stivuuu utatuua kwa arostoAhahha huyu Steve sio mtu mzuri kabisa alosto hizi za jona mpaka kuletwa kwa uzi wa malkia
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]Usijal lov kuna kazi namalizia naweka
Arosto ni adui wa maendeleo kabisaaaAhahhaha nimecheka sana alosto sio kitu kizuri kabisa