Yani kama kuna mtu natamani nimuonge ni ww tatizo iyo myekundu naitumajeKukwambia unibembeleze na kunimwagia wekundu ndio umekimbia haya msome malkia nimeshaweka
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] wekundu Wa msimbazi au?Ebu nibebembeleze bembeleze jaman Ekyoma nimtupie venin hapo huku unanirushia wekundu wekundu
Yani hapo ctanii najuta kwa nn sikukuonga kipindi kile cha Peniela kabla ujafunga pm[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] utafkili kweli
Duh kwa iyo mm nilikuwa mmoja wa wateule nilipokwambia nauza genge ukakimbia [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halaf nilikua nachagua kujibu pm za watu kipindi kile au sijibu kabisa
Hapana sio hivyo jaman yaan pm tu nilikua sijibu sabbu watu wasumbufu sana salaam tu anaweza akaja hata Mara5 anasalimia tuuu au maswali yasiokuw na kichwa wala miguu wengine mitongozo aahah unajionea kero tuDuh kwa iyo mm nilikuwa mmoja wa wateule nilipokwambia nauza genge ukakimbia [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah
Dah pole sema nn fungua dk moja uko nikutumie cv[emoji23] [emoji23]Hapana sio hivyo jaman yaan pm tu nilikua sijibu sabbu watu wasumbufu sana salaam tu anaweza akaja hata Mara5 anasalimia tuuu au maswali yasiokuw na kichwa wala miguu wengine mitongozo aahah unajionea kero tu
Ww si unataka mwekunduSasa mm cv ya ninii tena ndio yaleyale niliyoyakimbia
Ndo ufungue sasa uko naniliu uanze kupokea mgaoMm wekundu nataka ndio tena wengiiii
Dah ngoja niishi kwa matumaini ntafanyaje sasaAhahahh subiri siku ambayo haina jina nitakusuprise kukisalimia
Nakumbuka ndo kisa cha kunikimbia ata pm ukafunga una dhambi wwAhahhah na hutakiwi kukata tamaa kwanza matunda yangu si ulikua unaniambia niyafate buguruni
Hahaha sasa hivi ntakuletea kabisa uko sinza kwenu cjui.Sijakukimbia ulivyoniambia tu mambo za kufata buguruni hamu yotee imeniisha