SIMULIZI: Mkufu wa Malkia wa Goshen

SIMULIZI: Mkufu wa Malkia wa Goshen

shunie...mpendwa najiuliza haya;
asa malkia alirudia kuivaa kofia ambayo tayari ilishajishonea kichwani kwake?
afu seth alimshikaje ark begani wakati seth n mfupi....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
UHAKIKI.

Kitabu: Mkufu wa malkia wa gosheni.

Dhamira kuu:

Nguvu na nafasi ya mwanamke katika jamii:

Mwandishi amefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuithibitishia jamii juu ya umuhimu wa nafasi ya mwanamke katika jamii hasa anapo aminiwa! Kupitia muhusika wake mkuu Malkia sandaraus mwandishi anamchora mwanamke kama kiumbe mwenye ushawishi pamoja na nguvu, vile vile mwandishi amemchora mwanamke kama kiumbe mwenye msimamo na uthubutu, Jambo hili linadhihirika pale Malkia sandarus anapoweka nia ya kuikomboa gosheni. Pamoja na changamoto nyingi anazokumbana nazo lakini bado malkia sandarus hakati tamaa, Kila changamoto anayopitia malkia yeye huigeuza kuwa fursa ya kusonga mbele, na hapa mwandishi amefanikiwa kwa kiasi kikubwa na ametufunza jambo kubwa nalo ni KUTO KUKATA TAMAA.

Dhamira Ndogo ndogo:

Wivu:

Kupitia kwa muhusika Sultana mdogo, Mwandishi amefanikiwa kuonesha ni kwa namna gani wivu unaweza kushababisha maafa makubwa iwapo tuu utapewa kipaumbele, Wivu wa sultana mdogo ulipelekea yeye pamoja na sultan kufariki.

Mapenzi:

Mwandishi amefanikiwa kuonyesha ni kwa namna gani mapenzi yananguvu, hili linathibitika kupitia wahusika wake mbali mbali,
Nguvu ya mapenzi inapelekea Venim amsaliti kaka yake Venet na Kumrudisha Tanashe,
Mbali na hilo mapenzi yanageuka kuwa mauti kwa Venim, Apendaye haoni! Tunaona Rhoda(Venis) Anatumia mwanya wa kupendwa na Venim kutimiza Adhima yake ya Kurudi kutawala gosheni, hata hivyo lengo lake hilo halitimii.

Matumizi mabaya ya Madaraka:

Mwandishi anatuonesha ni kwa namna gani matumizi mabaya ya kimadaraka huweza kuleta maafa, Hili linathibitika kupitika muhusika wake Sultan, Yeye alidhani mtu anapokuwa kiongozi hapaswi kupigwa na yoyote, na anao uwezo wa kupata choche na muda wowote, hali hii inapelekea kuhitafiliana na kaka yake na Sultana mkubwa bi sameer bwana Akram( Kumradhi kama nimekosea jina).

Tamaa:

Kwa kiasi kikubwa mwandishi amefanikiwa, wahusika kama, Harid, Ottoman, Oragon pamoja na wale wanyan'ganyi wa jangwani wamekuwa wahanga wakubwa wa Tamaa zao, Tamaa ni mbaya, Tamaa huponza, Tamaa hupofusha, Tamaa hupelekea mtu atake asichostahili, Bwana Waheed kwa tamaa zake alitaka kuwachezea shere wenzake kwa kuwageuka matokeo yake ni yeye ndiye hakutoka kwenye Piramidi.

Asee shunie hongera sikuwahi kuwaza kufanya kazi hii! Leo umenirudisha shule, Hakika nimefurahi na kujifunza, Ahsante na Barikiwa sanaa.
 
Asante mkuu tubarikiwe sote [emoji120][emoji120]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom