Simulizi: Milango ya mafanikio

Simulizi: Milango ya mafanikio

SEHEMU YA MIA NA1(SEMI FINAL}

Heeee wewe mama hivi unasafiri au unasafirisha mizigo?
Maana mabegi yote haya mamizigo yote haya si ungetafuta usafiri binafsi. alikuwa ni mmoja wa wapiga debe, akishangaa wingi wa mizigo ya mama yake Samson.

Halafu mama Jose sikia wewe ni mtu ninayekuheshimu siku nyingi sana hii mizigo ni mingi mno, na pia tambua huwa Kuna kiwango cha mizigo kwa msafiri na wewe unajua, Jana umekuja kuchukua tiketi hapa ni Bora ungeniambia kama mna mizigo mingi hivyo ili niwashauri mpunguze, huu si mzigo wa biashara kabisa bi mkubwa yaani mabalo ya mitumba unayasafirisha kijanja, au unakwepa Kodi? Unakwepa kulipa nauli kubwa? Kwanza si una gari lako,kwanini usisafirishe kwa gari lako,Tafadhali mama J wewe ni mwelewa bwana.
Kijana msafi aliyekuwa kabana vitabu kadhaa kwapani alikuwa akibishana na mama Kulwa namna mizigo ilivyo mingi.huku akionekana anafahamiana na mama Kulwa siku nyingi.

Hebu njoo tuongee kwanza kwenye gari langu, mama Kulwa alimuomba yule kijana.
Baada ya dakika kadhaa walitoka huku kijana akiwa kakubali mizigo ipande kwenye gari {bus}
Akaamrisha vijana wake waipakie huku Kila muda akitikisa kichwa kuonesha kakubali kishingo upande.

Baada ya zoezi lile kukamilika , Samson pamoja na mama Kulwa waliingia kwenye gari wakipiga stori kadhaa kabla gari halijaondoka huku mama Kulwa akiwa anaongea na dereva wa bus namna ya kumsaidia Mama yake Sam ili wasimpitishe stendi ya Mafinga mjini pale atakapojisahau, uchovu, usingizi n.k.

Samson, Samson, Samson mwanangu, nimekuita mara tatu,
Sikuitwa kuja huku mjini kwa starehe Bali kuja kusikia kero zako na matatizo uliyokuwa nayo, Hawa watu wanania nzuri na wewe wangekuwa hawakutaki wasingeniita wangekurudisha nyumbani.

Lakini mwanangu SOMA tena USOME hata biblia imeandika usimwache huyo Elimu aende zake, mwanangu Dunia ya leo usiposoma unataka kuwa nani hata kama hutapata ajira, lakini unakuwa na Elimu ambayo itakuwezesha kufanya mambo yako kisomi hata ukiamua kulima au kufuga basi utafanya mambo yako kisomi zaidi.

Honi ya gari iliisikika ikiashiria inaondoka saa kumi na mbili asubuhi ile ndipo mama Kulwa aliposhuka na Samson huku wakimpungia mikono mama yake Samson ili asafiri salama,.
Wakaingia kwenye gari lao na kukamata barabara ya nyumbani kwao,

Dah Samson mama yako ni mpole sana na mwenye hekima hata sijapenda alivyoondoka haraka, ila ndiyo hivyo yeye mwenyewe ana familia yake hivyo isingewezekana kuendelea kubaki na sisi aliongea mama Kulwa huku akiwa anasimama kwenye mini supermarket fulani akiangaza angaza macho,
Walishuka wakaingia ndani akachukua vitu fulani Kisha akarudi kwenye gari na kuondoka.

Walifika nyumbani na kumkuta mzee Mgaya akiwa kwenye suti Kali kuliko kawaida ,
Hey mume wangu wapi tena mbona hivyo na ukinyonga tai tu najua unaenda kukutana na watu wazito lakini mbona hatujaambizana, alihoji mama Kulwa.

Mke wangu we acha tu taarifa yenyewe nimepata asubuhi hiihii na pia hiyo sehemu siyo ya lazima sana kuhudhuria, ila kwakuwa ni kikao cha wafanyabiashara tena kwenda kukutana na waziri wa viwanda nimeona na Mimi nisikose.
alijibu mzee Mgaya.

Hehehehe usinichekeshe mume wangu kwahiyo kama kikao hicho kitaendeshwa na waziri, wewe una biashara gani baba wewe, kwanza unajua ni wafanya biashara gani wanatakiwa huko, utajiaibisha mume wangu, wewe huna hata hiyo level yaani, mmmmh tena umefanya nicheke baba Jose. aliongea kwa dharau kiasi fulani mama Kulwa .

Hebu Samson naomba nichukulie vile vitu vyangu kwenye gari niwekee pale kwenye meza ya chakula, maana baba yako mkubwa naona sijui Nini kimemchanganya biashara ya mbao na milango na madirisha naona imemfanya naye ajione ni mmoja wa wafanyabiashara , hivi unaijua biashara wewe watu wanaozungumziwa huko ni wale waliajiri watu zaidi miatano kwenye miradi yao,na ni ajira siyo vibarua, Sasa wewe kwenda huko sidhani kama utapata hiyo nafasi, au ukipata unaweza kuambiwa uanalyse mambo kadhaa ukashindwa,
Kwenye Karakana yako una vijana kumi na mbili tu, na kuwalipa kwenyewe ni shida mara miezi ipitilize, uuuuuwiiii ila nenda tu. Utanipa majibu baba.
Mama Kulwa aliweka kituo.

(Huku akicheka)
Mke wangu umeongea mambo mengi sana ila tambua najua Nini nafanya na naenda wapi, ni afadhali ungeuliza uambiwe tu,
Mh waziri ana kikao na wamiliki wa viwanda wadogo wadogo yaani (SIDO) Small Industry Development Organization ili kutuinua.
Hivyo Kuna rafiki yangu kaniambia kuwa watu zaidi ya miatano wanatakiwa kuongea na waziri hivyo nikaona ni Bora nihudhurie tu, Kuna fursa, Kuna nafasi kibao , na unaweza Kuta mtu unapata bahati ya kuweza kupewa tenda kubwa za milioni , eeeh mke wangu huoni itakuwa jambo zuri. alihoji Mzee Mgaya.

Eti bahati yaani umri huo bado unawaza Kuna kitu kinaitwa bahati kwenye maisha , acha hizo baba Jose.aliongea kwa lawama mama Kulwa.

Bahati ipo ndiyo, unaikataa bahati?
Bahati ni mpango anaokutana mtu mwenye utayari aliye tayari.

Unamuona huyu mtoto Samson, naweza sema alikuja huku kwa bahati lakini si bahati moja kwa moja ni baada ya kuwa alifaulu na kustahili kujiunga na masomo ya sekondari, na hata Mimi tayari Kuna biashara nafanya hivyo mipango na fursa nitakazo kutana nazo si bahati , hata mtu anayeokota pesa barabarani ile si bahati Bali yupo kwenye utayari kwani angekuwa nyumbani asingeokota. Kwanza usinicheleweshe nasikia saa tano kikao kitaanza.

*************************************
Baada ya wiki moja kupita Samson alikuwa kwenye viunga vya shule mpya huku akiwa na begi la shule pamoja na la nguo huku Matron na Patron wakiwa bize kuwaonesha mabweni haswa wale wanafunzi wageni haswa wanaohamia na wale wanaoanza masomo.

Samson alipata mtihani kidogo baada ya kuambiwa hatojiunga na kidato cha nne badala yake atarudia kidato cha tatu, hii ilikuwa ni mtihani kidogo kwake lakini hata hivyo, hakuwa na la kufanya , namna ya kurudi nyumbani kwao isingewezekana je, atasaidiwaje?

Sehemu ya mwisho ina majibu usikose.

Loading.................
 
Mkuu ndio inakaribia kuisha kweli au ndo umemsikiliza huyo slow learner ww shusha nondo tu

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
SEHEMU YA MWISHO

Masomo yaliendelea vizuri kwa Samson hata mwalimu mkuu ambaye alikuwa na wasiwasi na Samson akimtaka arudie darasa, alianza kuwa na Imani naye sana tu , Samson aliungana na ndugu zake wale mapacha ambao waliunda utatu fulani mzuri sana kiasi cha kuwashawishi na wengine.

Kitabu na wao, wao na kitabu.
Hii ilipekekea kuwa mfano wa kuigwa hata na wanafunzi wenzao ingawa kulikuwa na vichwa pale darasani kiasi cha Samson kushindwa kuelewa kwani wanafunzi wengine hutumia ubongo huuhuu au Kuna namna nyingine, lakini yote kwa yote Kila mtu alijikuna anapofikia.

Tabia ya mtu ni kama ngozi kuivua inakuwa haiwezekani,
Kuna siku moja Samson alipata kuvutiwa na msichana fulani pale shuleni, akaanza kutupa ndoano zake, Kila msichana wa watu akikataa yeye Samson akawa hakati tamaa, basi siku moja nyakati za usiku walikubaliana wakafanye tendo la kibiologia nyuma kabisa karibu na yalipo majiko ya kupikia ndipo walipofumwa na mwalimu aliyekuwa doria huku akiwatembezea bakora za kutosha. Kwakuwa neno lile Samson hakutaka lienee shuleni pale akaomba msamaha sana huku akitoa rushwa kidogo kwa yule mwalimu na kukubaliwa, lakini licha ya hivyo bado taarifa zilienea kwa baadhi ya wanafunzi ambao walimsema Samson na kumsimanga sana tu, ukawa mwisho wa tabia za kishenzi akaamua kudeal na masomo yake.

Baada ya shule kufunga mwezi wa sita wote watatu walirudi nyumbani na kukuta Kuna mabadiliko kidogo, kuanzia housemaid mpya, lakini pia Samson alishangaa kuona mtoto wake yupo na house girl Kila muda ikabidi aulize,

Mama vipi Rahma yuko wapi mbona simuoni? aliuliza Samson.

(Kwanza mama Kulwa aliguna kisha akaendelea)
Rahma katoroka,
Ilikuwa hivi Kwanza aunt yako Sarah aliaga kwakuwa mkataba wake uliisha kwani nilimchukua kwaajili ya uangalizi wa Rahma akiwa na mtoto mdogo, hivyo alidai anarudi nyumbani ambako Kuna mchumba wake na anaenda kuolewa. Hivyo nikamruhusu aondoke huku nikimkalisha kikao Rahma kuwa Sasa mtoto kakua hivyo anapaswa kufanya kazi zote hapa nyumbani ndipo alikubali huku nikigundua ni kwa shingo upande kwani tangu Samson uondoke alikuwa mnyonge. alifafanua mama Kulwa.

Lakiniiiiiii mmmmh yule mtoto basi tu, Kuna siku nilirudi toka mjini nikakuta hajaandaa chochote humu ndani, hata nilipomwambia Mzee wenu alidai kama nashindana naye basi naweza kumruhusu aondoke lakini kwa moyo wangu wa kibinadamu sikutaka kumfukuza Rahma wangu. mama Kulwa alifafanua Kisha akaendelea....

Baada ya miezi kadhaa kupita Rahma aliniambia kuwa anahitaji kubadili jina la mtoto wake, ikabidi nimuulize kwanini?
Akadai yeye tangu mtoto apewe jina lile hakuwa radhi kwani lipo jina linaloshabihiana na Dini yake ambalo mtoto anataka apewe.
Kiukweli sikumjibu kwani kuhusu yeye kuwa mdini natambua siku nyingi sana hivyo nilimwacha tu.

Baada ya siku mbili hivi wakati narudi toka mjini kwenye biashara zangu nilimkuta kijana fulani aliyevalia kanzu akiwa na muonekano wa kiustadhi,lakini yule kijana baada ya Mimi kuingia naye alitoka muda huo huo. Ikabidi nimuulize Rahma kwanini anaingiza watu ndani mwangu bila uoga Kuna kuibiwa , Kuna kupelelezwa na mengine mengi sana lakini Rahma alichukia na kuondoka usiku huohuo shahidi Mzee Mgaya ambaye alimuona anaburuza begi licha ya kumuita hakutaka kusimama basi Mzee Mgaya aliingia ndani kuja kuniambia hizi habari lakini tulipotoka hatukuiona sura ya Rahma hadi leo hii , akatuachia tu huyu mtoto ambaye nilipata naye taabu hivyo hivyo lakini MUNGU ni mwema mtoto anaendelea vizuri.
Mama Kulwa aliweka kituo.

Kitendo cha kuambiwa Rahma alitoroka kilimtingisha kidogo Samson kwani alimpenda sana lakini hakukuwa na namna ndiyo hivyo alikubaliana na hali.

Kuhusu wazazi wako tunawasiliana nao mara kwa mara, na wanakuombea sana. Na pia Tausi hatunaye mwanangu hivi una taarifa?
Maana Kuna siku Mzee Mgaya alikuja hakuwapa habari hii? aliuliza mama Kulwa.

Samson. Hakuwa na majibu akabaki anaangalia tu, ndipo mama kulwa akafafanua.

Tausi alifariki kwaajili ya gari, ambapo alikuwa anaendesha mwenyewe tena ikiwa ni siku ya kwanza tu tangu anunue akalivamia Lori lililokuwa limepaki pembeni mwa barabara ndipo ukawa mwisho wa uhai wake.
Lakini pia mwanangu Catherine (Cathy) yule sijui hela kapata wapi kwasasa anaishi maeneo wanakoishi watu wazito huko kiufupi hata hapa hajawaji kuja na mawasiliano yetu ni hafifu.alifafanua mama Kulwa ambaye anaonesha alimmiss Samson. Kuliko hata wanaye kwani walikuwa wanapiga stori akimsimulia mambo mbalimbali.

Na pia mwezi wa nane Kuna shughuli nzito hapa maana kaka yako Jose anaoa, japo huyo mchumba sijamuona ila sijapenda aina ya kazi yake nasikia ni mwanasheria kama alivyo kaka yako Sasa hofu yangu mwanangu asifunikwe maana Hawa mabinti wasomi haswa Hawa ma lawyer huwa Wana masharti sana kwenye ndoa, mama Kulwa alionesha hajapenda chaguo la mwanaye Jose.

Hapana mama Mimi nadhani kaka Jose anajua kikubwa heshima na uaminifu Kati Kati yao nadhani wenyewe wanajuana vizuri. alijibu Samson Kwa uelewa wake.

Mmmmh ngoja tuone na tatizo mwanangu hashauriki yule, alilaumu Mama Kulwa.

***************************************Baada ya Samson. Kuhitimu kidato cha nne alirudi nyumbani kama alivyoambiwa na wazazi wake kuwa arudi kijijini afanyiwe tambiko fulani ili kunyoosha mambo yake kama ilivyo kwa makabila mengi nchini. japokuwa hakuwa na Imani na mambo yale lakini aliheshimu wito na maamuzi ya wazazi wake, alikaa zaidi ya wiki kadhaa akiwa anasikilizia matokeo pia ndipo aliporudi mjini baada ya kusikia ataendelea na masomo yake ya kidato cha tano bila wasiwasi.

Cha ajabu wakati anafika nyumbani muda ya usiku kama saa tatu kwenda saa nne alishangaa uwepo wa magari mengi pamoja na wingi wa watu ndipo aliposikia kuwa Mzee wake aliyempa msaada, aliyemfutia ujinga japokuwa hakuwa amemaliza , yaani James Mgaya alikuwa amefariki huku majirani na marafiki wakidai walikuwa wanakunywa wote pombe hata alipodondoka walidhani ni pombe zimemzidia lakini ukweli ni kwamba Mzee Mgaya alikuwa kaaga Dunia.

Samson alilia, akalia na kulia mtu pekee mtetezi na mwenye misimamo yake alikuwa hayupo Tena Samson alijua mwisho wake ndiyo ule. Lakini baada ya taratibu za matanga na mengineyo Joseph James Mgaya alimuita Samson kwenye grocery moja iliyo karibu na nyumbani kwao mazungumzo yakawa hivi.

Samson mdogo wangu nimetambua ulivyolia na ulivyomnyonge mpaka muda huu kutokana na kuondoka kwa Mzee wetu, baba yetu Mzee Mgaya lakini nikutoe wasiwasi Mimi hapa ni mbadala wa mzee Mgaya nitajitahidi kusimamia miradi yake na mambo yake ikiwemo wewe kutimiza ndoto zako hivyo naomba usijisikie vibaya.

Kwa kuondoa shari na migongano ambayo itajitokeza wewe utasoma nje ya Dar es salaam jitahidi kuwa kwenye mstari mnyoofu na maadili mema. yalikuwa ni maneno ya Jose akimfariji Samson.

Kifupi Samson alisoma mpaka chuo kikuu akifanikiwa kupata Degree Moja ya uhandisi huku akipewa ushirikiano na kaka yake Jose,mengine alijiongeza mwenyewe kama ilivyo kwenye mbanga, mishe na habari za kujiongeza town, huku wenzake wakifeli haswa Dotto ambaye alichagua biashara mapema. Hujui Kulwa akiishia kuwa mwalimu wa sekondari.
Mama Kulwa alifariki kipindi Samson akiwa ana kazi, ameoa na ana mtoto mmoja.

Kuhusu wazazi kamili wa Samson wote wapo hai mpaka muda huu , MUNGU awalinde na awazidishie maisha marefu.

Stori ya kweli ya maisha ya Samson, huku majina yaliyotumika humu yakiwa fake ili kuwakwepa watu wa karibu kuunganisha matukio.
Huu ni mwisho wa simulizi yetu.
Hongera ndugu msomaji kwa kuifuatilia Hadi mwisho.

Pia niwaombe radhi kwa kushindwa kuileta muda na wakati sahihi. Tusameheane.
Nikipata muda na wakati wenye utulivu nitaleta simulizi nyingine lengo ni kuburudika na wanajamvi.

Alamsiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera kwa simulizi nzuri.
Mtoto wa Rahma yuko wapi na Rahma je?
 
Asante sana Jack Daniel ,,Bonge la story,,,,nimeinjoy sana
 
Asante sana Jack Daniel tumekuwa pamoja mwanzo mwisho wale wenzangu na mim wa episode mbiri wanataka michango wanalo la kujifunza kwenu watunzi nguli humu Jf
 
Shukrani sana Mkuu kwa story murua kabisa hii.... Kuna mengi ya kujifunza hapa
 
Dah kumbe namie nna roho ndogo mbona nimesikitika sana mzee mgaya jmn...mkuu ulisema hiki kisa kina mahusiano na mimi na boss wangu nimeshindwa kuhusihanisha kbs kindly do the necessity bas
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom