Mahari ni lazima, usidanganyike binti

Mahari ni lazima, usidanganyike binti

SweetyCandy

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2022
Posts
5,145
Reaction score
9,712
Utamaduni wa kiafrika lazima mwanaume amtolee mwanamke mahari awe na mtoto au asiwe na mtoto.
Ukiamua kuoa kwenye boma la watu wenye miiko yao ni lazima utoe mahari mf. Sisi wa Masai .
Ukiwa bikra unatoa mahari ya ng'ombe mia moja .

Akiwa na elimu nanibikra ni ng'ombe 150. Ndio umchukue hapo hujatoa kishika uchumba na kuleta zawadi yakuwa unataka kuoa boma hilo . Pia kuna madebe ya pombe 15. vyakula na kishika uchumba ya pili tena madebe ya pombe kumi na mahari.

Pili kama msichana hana hiyo bikra ni ng'ombe 30 hata 25 itakubalika ila kama walimsomesha ni 35 mpaka hamsini.
Taratibu za pombe zawadi iko pale pale na kishika uchumba .

Kama anamtoto mahari ni ng'ombe wa 4 mpaka wa tano na pombe madebe 10 au pungufu ya hapo na kama anaelimu ni ng'ombe hizo hizo.

So kama mwanaume asipokutolewa mahari ujue akupendi. Jua hilo tu.

Ndio point yangu ni hii kwanini mama yako alitolewa mahari wewe leo mchumba wako aseme anakununua eti . Akitoa mahari ndio akununue??
JItafakari uchukue hatua .
 
Mahari sio lazima, usijidanganye.

Ipo familia naifahamu imemtoa binti yao bure pesa ya mahari baba wa binti akawaambia wakaanzie maisha.

Nimejifunza mahari inapewa umuhimu zaidi wakati huu kwasababu ya hali za kiuchumi kwa familia nyingi ni ngumu.

Mdio maana nashangaa wakati mwingine mpaka mdogo wa binti nae anatakiwa apewe chake, eti nae alishiriki kumlea dada yake!.

Watu wafanye kazi tu, waache kuvizia nyakati ndio maana dada zao siku hizi wanazeekea nyumbani.

Hakuna familia isiyo na mtoto wa kike, familia nyingine unakuta wakike wengi zaidi ya wa kiume, mahari ni fursa tu.
 
Utamaduni wa kiafrika lazima mwanaume amtolee mwanamke mahari awe na mtoto au asiwe na mtoto.
Ukiamua kuoa kwenye boma la watu wenye miiko yao ni lazima utoe mahari mf. Sisi wa Masai .
Ukiwa bikra unatoa mahari ya ng'ombe mia moja .

Akiwa na elimu nanibikra ni ng'ombe 150. Ndio umchukue hapo hujatoa kishika uchumba na kuleta zawadi yakuwa unataka kuoa boma hilo . Pia kuna madebe ya pombe 15. vyakula na kishika uchumba ya pili tena madebe ya pombe kumi na mahari.

Pili kama msichana hana hiyo bikra ni ng'ombe 30 hata 25 itakubalika ila kama walimsomesha ni 35 mpaka hamsini.
Taratibu za pombe zawadi iko pale pale na kishika uchumba .

Kama anamtoto mahari ni ng'ombe wa 4 mpaka wa tano na pombe madebe 10 au pungufu ya hapo na kama anaelimu ni ng'ombe hizo hizo.

So kama mwanaume asipokutolewa mahari ujue akupendi. Jua hilo tu.

Ndio point yangu ni hii kwanini mama yako alitolewa mahari wewe leo mchumba wako aseme anakununua eti . Akitoa mahari ndio akununue??
JItafakari uchukue hatua .
Utamaduni au Traditiona is peer pressure from the dead people 😂
Kama bibi wa bibi yako alitolewa mahari ya ng'ombe 150, unadhani hayo mazingira bado yako katika miaka hii.
 
Utamaduni wa kiafrika lazima mwanaume amtolee mwanamke mahari awe na mtoto au asiwe na mtoto.
Ukiamua kuoa kwenye boma la watu wenye miiko yao ni lazima utoe mahari mf. Sisi wa Masai .
Ukiwa bikra unatoa mahari ya ng'ombe mia moja .

Akiwa na elimu nanibikra ni ng'ombe 150. Ndio umchukue hapo hujatoa kishika uchumba na kuleta zawadi yakuwa unataka kuoa boma hilo . Pia kuna madebe ya pombe 15. vyakula na kishika uchumba ya pili tena madebe ya pombe kumi na mahari.

Pili kama msichana hana hiyo bikra ni ng'ombe 30 hata 25 itakubalika ila kama walimsomesha ni 35 mpaka hamsini.
Taratibu za pombe zawadi iko pale pale na kishika uchumba .

Kama anamtoto mahari ni ng'ombe wa 4 mpaka wa tano na pombe madebe 10 au pungufu ya hapo na kama anaelimu ni ng'ombe hizo hizo.

So kama mwanaume asipokutolewa mahari ujue akupendi. Jua hilo tu.

Ndio point yangu ni hii kwanini mama yako alitolewa mahari wewe leo mchumba wako aseme anakununua eti . Akitoa mahari ndio akununue??
JItafakari uchukue hatua .
Unataka kuishi maisha ya bibi wa bibi yako pale unapoana unafaidika wewe.
Lakini at the same time unataka kuishi modern life ambayo bibi wa bibi yako hakuishi.
 
Utamaduni wa kiafrika lazima mwanaume amtolee mwanamke mahari awe na mtoto au asiwe na mtoto.
Ukiamua kuoa kwenye boma la watu wenye miiko yao ni lazima utoe mahari mf. Sisi wa Masai .
Ukiwa bikra unatoa mahari ya ng'ombe mia moja .

Akiwa na elimu nanibikra ni ng'ombe 150. Ndio umchukue hapo hujatoa kishika uchumba na kuleta zawadi yakuwa unataka kuoa boma hilo . Pia kuna madebe ya pombe 15. vyakula na kishika uchumba ya pili tena madebe ya pombe kumi na mahari.

Pili kama msichana hana hiyo bikra ni ng'ombe 30 hata 25 itakubalika ila kama walimsomesha ni 35 mpaka hamsini.
Taratibu za pombe zawadi iko pale pale na kishika uchumba .

Kama anamtoto mahari ni ng'ombe wa 4 mpaka wa tano na pombe madebe 10 au pungufu ya hapo na kama anaelimu ni ng'ombe hizo hizo.

So kama mwanaume asipokutolewa mahari ujue akupendi. Jua hilo tu.

Ndio point yangu ni hii kwanini mama yako alitolewa mahari wewe leo mchumba wako aseme anakununua eti . Akitoa mahari ndio akununue??
JItafakari uchukue hatua .
Unaruhusu mabinti kuuzwa?
 
Back
Top Bottom