Simulizi: Milango ya mafanikio

Simulizi: Milango ya mafanikio

Hii siyo simulizi ya kutunga, ni true story, ukisoma mpaka mwisho utaelewa.
Nafahamu Mkuu hii ni true story kwa sababu hata uandishi wake unaonekana kabisa. na nikikumbuka zile nyakati za utineja 12-17 years old ninachokisoma kwenye hii simulizi ndiyo nilichokuwa nakipitia kiuhalisia kabisa
 
Ni miaka 14-22 umri huo ukiona hata Bata ama mbwa Wana reproduce unapata hisia
 
Natamani hii simulizi ingekuja Kila siku walau two episodes, lakini inashindikana kwasababu muingiliano wa ratiba.

Mara nyingi huwa napenda kuandika nikiwa ofisini kwangu kwani ndiko nakopata muda sahihi na utulivu.nikiwa nje ya ofisi muda unabana sana kutokana na majukumu mengine.lakini nikipata muda Kila kitu kitakaa sawa.

Nawatakieni,
Kwaresma njema na Ramadhan njema.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom