😂😂😂😂Usitume tena.
Kwanini mkuuUsitume tena.
Unatuma kwa manyato mnoKwanini mkuu
Unachosha mkuu unakaa miongo unatuma kamoja ni kama umemuacha mke mwaka mzima umeenda masomoni unarudi unampa kamoja ka sekunde mia unalala sa si bora umuache na nye..zake tu mbona aliishi na hakufaKwanini mkuu
Nimekupata mkuu, wiki hii ni kila saa tatu asubuhiUnachosha mkuu unakaa miongo unatuma kamoja ni kama umemuacha mke mwaka mzima umeenda masomoni unarudi unampa kamoja ka sekunde mia unalala sa si bora umuache na nye..zake tu mbona aliishi na hakufa
Ngoja tuoneNimekupata mkuu, wiki hii ni kila saa tatu asubuhi
naona huko ileje saa tatu asubuhi bado.....Nimekupata mkuu, wiki hii ni kila saa tatu asubuhi
Wakati Dar ni saa tatu asubuhi, Ileje ni saa kumi na mbili asubuhinaona huko ileje saa tatu asubuhi bado.....

Rahma kabakwa nini??SEHEMU YA HAMSINI NA MOJA
Baada ya wiki kadhaa kupita Kuna siku ambayo ilikuwa ni weekend, Mzee Mgaya aliamka asubuhi na mapema na kumtaka Samson aamke kwani kulikuwa na ratiba nyingi siku hiyo
Najua una ratiba zako za kwenda kujisomea sasa nataka twende kwanza kule Karakana maana mafundi wameniambia niende sijui Kuna Nini lakini pia tutaenda Temeke maana ile gari nilimwambia anitafutie mteja, na inaonekana tayari kampata hivyo jiandae mpaka saa nane mchana tuwe tumesharudi.
aliongea Mzee Mgaya huku akipiga piga tairi za gari na buti zake.
Watu watatu, Mzee Mgaya, mama Kulwa na Samson waliingia kwenye gari lao jipya,
Sasa shoga yangu, nadhani tutarudi mchana hivyo masuala ya chai wewe jiandalie mwenyewe sisi tutarudi muda wa chakula cha mchana, hata hivyo naomba jambo moja uzingatie wageni usiowafahamu usiwafungulie geti waambie sisi hatupo. alisisitiza Mama Kulwa Kisha gari likaondoka.
Huku wakipiga stori za hapa na pale wakiwa njiani
Hivi baba Jose Kuna mtu nasikia jana mlikuwa mnagombana naye, tena nasikia nusura mpigane, vipi nini sababu maana mume wangu kuonekana umri huo ulitaka kupigana, inaleta picha mbaya halafu jua una heshima uliyojijengea siku nyingi kwenye jamii sasa inakuwaje tena? aliuliza mama Kulwa.
Dah kweli watu ni wanafiki, yaani tayari washakuletea hizi habari, duh japo ni kweli niligombana na huyo mtu , kwani kanitia hasara isiyoelezeka hela zangu kibao zimepotea kwasababu yake
Iko hivi yule aliniambia nimtengenezee milango miwili kwaajili ya kukamilisha nyumba yake, akatoa hela nusu kwaajili ya kununua mbao na materials mengine, Sasa kama kawaida Mimi nimenunua hivyo vitu, halafu yeye amekuja jana na kudai nimrudishie hela yake eti kabadili maamuzi, baada ya kumkatalia ndipo ugomvi ulipoanzia .
alifafanua mzee Mgaya.
Halafu kuna kitu ambacho nimegundua toka kwa yule bwana, kwasababu nilishangaa kumkuta nje ya geti la nyumbani akiongea na Rahma wewe ukiwa haupo , nadhani ulikuwa dukani kwako na Samson alikuwa shule, kwa namna nilivyowakuta ni dhahiri alikuwa anamtaka japo Binti yangu alionesha kama hataki vile, basi katika kumuhoji kwanini anamshikashika Binti yangu ndipo akasema alikuwa ananiulizia mimi akitaka nimtengenezee milango , akaingia kwenye gari akachukua hela akanipa na kunitaka nimuharakishe japo nikishangaa hata aina ya milango iweje hajanipa, Wala mchoro nikapanga nitamrudia ili nikaombe anipe design au namna milango itakavyo kuwa cha ajabu akasema hahitaji mlango wala Nini ila nimpe tu pesa yake. aliweka kituo mzee Mgaya.
Hili mbona lipo wazi inaonesha alitoa hela kwa kujinasua kwenye mtego, baada ya kumfuma na Binti yetu, kwani ni nani huyo mtu? Mama Kulwa aliuliza.
Si yule aliwahi kugombea udiwani kisa akapigwa chini na akipata kura zisizozidi ishirini. alijibu mzee Mgaya
Haaaaah Sasa yule mzee ndiyo wa kumtongoza Rahma kweli? aliuliza kwa mshangao mama Kulwa.
Ndiyo ushangae wewe maana Dunia haiishi visa na vituko, wanaume tumekuwa na tamaa mbaya sana, Nia yake nini, aje amuambukize tu magonjwa yule mtoto, unasahau mke wangu kwamba hata sifa zilizomfanya wananchi wamkatae awe kiongozi wao ni kwasababu ya skendo zake mbaya, kutembea na wake za watu n.k.alifafanua Mzee Mgaya.
Stori ziliendelea Kati ya mzee Mgaya na mkewe huku Samson akiwa makini akisikiliza huku akigundua jambo kuwa kumbe pindi akiwa shule Kuna watu huwa wanakuja nyumbani kwao, na mbaya zaidi wengine ni wazee kabisa, alijikuta anateswa na wivu uliochanganyika na uoga wa kuambukizwa magonjwa.
Hivi baba Kulwa huku Nako ulikupendea nini mbona Karakana hii umeijenga mbali sana, mwenzangu huku si porini kabisa, yaani bado kupo local sana mume wangu.
Wewe unaongea Ukiwa kwenye gari tu shuka kwanza, Kuna watu wanajenga kwa kasi sana huku lakini pia hili eneo nililopata ni kubwa sana zaidi ya ekari sita, najua ipo siku upande mwingine naweza kuuza, lakini pia huku Kuna wanakijiji wanaishi na baadhi ya miundombinu kama umeme vishafika na ndiyo maana nikafunga mashine zangu,bado maji tu hayajaanza kutoka japo mabomba yameshasambazwa kifupi huku Kila kitu kipo ok mama Jose, uliza kiwanja kinauzwa bei gani licha ya kuona ni porini huku, yaani Nina mpango wa kuja kujenga ili uzee wetu tumalizie huku Kwa huoni kulivyo tulia.aliongea Mzee Mgaya huku akionesha kaikubali sana ile sehemu.
Mama Kulwa hakujibu ila alibinua midomo yake kwa dharau huku akionesha hajapakubali hata kidogo , wakaingia ndani ya Karakana na kuona jinsi vijana wanavyopiga kazi bila kuamrishwa yaani Kila mmoja alionesha kujituma labda kwakuwa bosi alikuwepo , hapa mama Kulwa alifurahishwa sana na utenda kazi wa vijana, walimfuata mmoja mmoja wakimsalimia.
Baada ya muda Mzee Mgaya aliwaita vijana wake, akiwatambulisha kuwa yule wanaye muona ndiye mke wake na yule anayekujaga Mara kwa Mara {Tausi)ni mke mdogo.
Wapo ambao walikuwa wanamfahamu mama Kulwa kwani wameshafuata spair Mara kadhaa hivyo haikuwapa tabu.
Mzee naona huyu dogo unaongozana naye Kila ukija vipi mbona anakuwa bishoo hivyo mlete huku tumfundishe kazi, siyo mtoto wa kiume kupendeza asubuhi, alitania mmoja wa vijana wake akimtaka Samson ajiunge kupiga kazi pale.
Mzee Mgaya akaishia kucheka tu, Kisha akapanda gari na kuondoka.
Mke wangu, hili gari nimelipenda sana ni zuri sana wapo wanaodai inakula sana mafuta, lakini kwa safari kadhaa nilizozunguka nalo, nimeiona ipo vizuri tu, halafu inaonesha iliagizwa na hapa ndipo unaponichanganya maana hukunishirikisha. aliweka kituo mzee Mgaya
Hili gari kiukweli nimepata zali tu, yule mwanangu Cathy ana bwana wake ambaye alimzawadia hili gari siku ya birthday yake, hivyo kwakuwa yeye analo, akaniuzia kwa bei rahisi mno, na pia si unamjua Cathy alivyo na maringo anadai hawezi kuendesha gari toka Japan yeye anataka za mzungu.
Mama Kulwa aliongea wote wakacheka.
Yule msichana namuonaga kama ana dharau mno tena sana, sijui umewezaje kuwa na urafiki naye, aliuliza Mzee Mgaya.
Ni stori ndefu sana yule alitaka kuwa mkweo maana alitoka kumpenda sana Jose, hata hivyo Jose kama unavyomjua misimamo yake, hakutaka hata kumpa nafasi ya dakika moja ajieleze , hivyo Binti wa watu nikaishia kumpa moyo tu. alisema mama Kulwa huku akicheka.
Yaani my first born Jose, awe na yule kahaba wa mjini, weeeeeh kwanza Namuamini sana Jose ana akili zangu zote Tena kanipita asingeweza kuwa na aina ya mwanamke kama Cathy,
Mtu ana mabwana Kila kona loh.
tena wanawake sijui mpoje yule si kajengewa nyumba na jamaa huyu mnayesema alimpa zawadi ya gari hili Sasa mwanangu anamtaka wa Nini tena . aliongea Kwa masikitiko Mzee Mgaya.
Mume wangu Mimi njaa inaniuma huko sijui Temeke siendi naomba unipeleke nyumbani tukale, saa Saba hii ujue, alilalamika mama Kulwa,
Baada ya muda fulani walifika nyumbani, wakasukuma geti ambalo halikufungwa huku wakimlaumu Rahma kwanini hafungi geti wakati ndicho kitu wanachosisitiza Kila siku , waliingia ndani, na kumkuta Rahma akiwa peke yake analia kilio cha kwikwi huku Kila mmoja akishangaa Nini kimetokea. Mama Kulwa alikuwa kachelewa kidogo kushuka kwenye gari, hivyo Mzee Mgaya alimuita akiona ni mtu sahihi wa kumuhoji yule Binti Nini kimempata.
Itaendelea jioni hii............

haya lini na saa ngapi tena?SEHEMU YA HAMSINI NA MOJA

Jifunze moyo wa shukrani ili uwe na furaha na mafanikio unaamrisha utadhani unamlipa mwandishi?haya lini na saa ngapi tena?
mkuu we unajua mi na jack tunafahamiana vp na tunaongeleshanaje? pita hata juu uone tunavosemezana basi...we una ujuaji sana mwana naamini ni mwanaume punguza kidogo nakuona kila mahali unadakia na kurukia rukia mambo usije rushiwa rungu ukadaka ikawa mengine em kaaga kimya sometimes unaboa acha umama unajiendekeza sana mdomo umekuzidi huwez acha jambo likupite sio maisha dada we kiila kitu umo vp unataka chapati za maji utafikwa shauri yakoJifunze moyo wa shukrani ili uwe na furaha na mafanikio unaamrisha utadhani unamlipa mwandishi?